Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Shikamoo baba tunda[emoji125] [emoji125] [emoji125]Na Hilo jina la Sabasita sio jina lake halisi ni la utani sababu ya namba yake ya kijeshi ni D 7676 so wakati akiwa mwalimu kule CCP moshi ndo watu walimtunga Hilo jina
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Shikamoo baba tunda[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwandikie barua akaifwateAfu me nampenda kichizi hajui tu
Dhaaa wanaume tunazd kudhalishwa
Natanguliza samahani,ivi wewe ni wa kike au wakiume?Ni juzi tu umetoka polisi kwa kesi ya madawa ya kulevya, na video clip yako imeonekana kwenye mitandao kiukweli kutokana na ulivyoongea ni dhahiri kuwa umejifunza kitu,umeongea kwa hisia na kwa adabu, kuwa hautarudia kilichotokea,
Hapo nakupa Big Up nakupa hongera kwa kukiri ni kweli ulikuwa unatumia madawa na sasa hivi mpo na akina T.ID na rommy jones kwenye campaign za kuzuia madawa,hiyo imekaa poa,
Kilichonishtua ni ukaribu wako na msagaji maarufu bongo mlitoz, Huyo msichana ana sifa mbaya sana, kashamkoboa sana lulu Michael na mastaa wengine kibao, mashilawadu wanakuona siku hizi uko zero distance na hyo msagaji ,wameniambia nikuonye mdogo wao usiingie huko tena ukaanza kuharibika,
Tunda we bado mdogo na mzuri sana tu, Kama shule umeona hauwezi (maana si mchezo kusoma kipaji kama huna usilazimishe) ni bora ukaweka nguvu zako kwenye u video vixen, modelling hata bongo movie pia unalipa,
Achana na ma group ya hao mashoga na wavuta unga watakuharibia maisha, wewe mwenyewe uliona ulivyokuwa ndani wale ma best zako mnaokunywaga wote ma Moet hawakuwepo, ulikua mwenyewe tu, muulize lulu kuhusu marafiki atakuhadithia, badilika
Huyu Sabasita si ndo yule afande alikuwa mbabe sana morogoroNa Hilo jina la Sabasita sio jina lake halisi ni la utani sababu ya namba yake ya kijeshi ni D 7676 so wakati akiwa mwalimu kule CCP moshi ndo watu walimtunga Hilo jina
Hiyo ni ngoma ya MatonyaMpwa warumi umesahau kwenye ngoma moja na Tunda Mkubwa (kama sikosei), huyu Tunda Mdogo alishawahi kucheza nafasi anasagwa?! Unaikumbuka hiyo ngoma tena wakati ule kalikuwa kadogo dogo tu!! Isije ikawa anataka ku-practice!!
binamuu...kaone dongo la mutuz kwa lulusafari hii mnitafutie mwanasheria binamu maana ni speed 360 werevaaa[emoji23][emoji23]
A'ght man, you got it right!Hiyo ni ngoma ya Matonya
IG huwa anaoneka kisu hatari,umemuona tunda kwenye ayo Tv? ile itakua tecno wereva aiseeh sio kwa mpauko ule, editing zinawasaidia sana duh
Dooh
mlitozi ni huyo demu nyuma ya tunda
Ndio huyo huyoHuyu Sabasita si ndo yule afande alikuwa mbabe sana morogoro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuu......kazi ni kazi muraaa. .sajenti tuu...kama sijakosea
zile mbwembwe ni power of pussy...!!!iko kazini
Kumbe tunda ni mzuri aseeh
Mkuu wa kituo manyara.Si wana sema kwao wana pesa
Polis gan mwenye pesa au ni RPC or OCD !!?
Kumbe tunda ni mzuri aseeh