warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #141
picha yake ipo humubinamu huyo mlitoz nanni kama una picha yake tupia
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
picha yake ipo humubinamu huyo mlitoz nanni kama una picha yake tupia
Nilitaka kushangaa sana kutoona utetezi wako[emoji1] [emoji2]Kutembea na huyo msichana haimaanishi anajihusisha na vitendo vya usagaji na huyo msichana
Muda mwingine inatokea mtu mnakutana tu katika events mbalimbali haimaanishi kwamba huyo mtu ni best yako sema tatizo la wabongo wanapenda kuunganisha matukio na kuchafua wengine ili wajitengenezee jina wenyewe,
Yani wakikuona mara mbili au mara tatuu basii wana conclude na wanakutengenezea skendo
Acheni hayo mambo hayajengi
Huyu dem sku moja niliwahi kukaa nae meza moja sema ana maringo kistyle ila nja anayo kali tu![]()
mlitozi ni huyo demu nyuma ya tunda
Kwa nn, mkuu ?Nilitaka kushangaa sana kutoona utetezi wako[emoji1] [emoji2]
Tupeni jina la account yake Insta....tunataka tukamuone live huyu mtotoewaaa wambea kama nyinyi ndo nawataka, ndo huyo aiseeh
Ila nawe 'umezurura'Huyu dem sku moja niliwahi kukaa nae meza moja sema ana maringo kistyle ila nja anayo kali tu
We dada upo?ubuyu wa enzi.zile unaenda dirishani.kwa wema kuwachungulia wema na diamond...
unaenda kulala msiba.wa.msanii.ili upate umbea ha ha ha ha ila we mtu kwakweli hapana
Umepapenda Meru...maisha ya ndoa matamu! Uzururaji ilikua zamani sa hv tumetulia tunaitafuta noti tuIla nawe 'umezurura'
Bt nitafutie apartment nzuri Ara...mwezi wa 4 nahamisha makazi huku
Najua....maana enzi zile hadi usiku wa mapopo uko barabarani na For yako.Umepapenda Meru...maisha ya ndoa matamu! Uzururaji ilikua zamani sa hv tumetulia tunaitafuta noti tu
Aisee ilikua balaa sana...umepotea sana aisee..au ni baba magu?Najua....maana enzi zile hadi usiku wa mapopo uko barabarani na For yako.
Nataka kuja kuwekeza kwa mmadini mmoja
Hahahaa.....jela mbayaAisee ilikua balaa sana...umepotea sana aisee..au ni baba magu?
Huyo msichana ana sifa mbaya sana, kashamkoboa sana lulu Michael
Natanguliza samahani,ivi wewe ni wa kike au wakiume?
Vibaya hivo ujueWe dada upo?
Nilikuwa na dili...hukutokea.
Tutafutane
Sikuwa na jinsi...si unajua raha ya umbea muendelezo.Vibaya hivo ujue
Acha umbea.