Tunda Achana na mlitoz

Tunda Achana na mlitoz

Haha Ila huyu mlitoz naweza mpa dudu hadi asahau usagaji..Akapige shopping ya marinda bila mimi kuwambia na aje aitishe mimba mwenyewe
 
Kutembea na huyo msichana haimaanishi anajihusisha na vitendo vya usagaji na huyo msichana

Muda mwingine inatokea mtu mnakutana tu katika events mbalimbali haimaanishi kwamba huyo mtu ni best yako sema tatizo la wabongo wanapenda kuunganisha matukio na kuchafua wengine ili wajitengenezee jina wenyewe,

Yani wakikuona mara mbili au mara tatuu basii wana conclude na wanakutengenezea skendo


Acheni hayo mambo hayajengi
Nilitaka kushangaa sana kutoona utetezi wako[emoji1] [emoji2]
 
ac9117f106159aaeadec7446012cfed0.jpg



mlitozi ni huyo demu nyuma ya tunda
Huyu dem sku moja niliwahi kukaa nae meza moja sema ana maringo kistyle ila nja anayo kali tu
 
ubuyu wa enzi.zile unaenda dirishani.kwa wema kuwachungulia wema na diamond...
unaenda kulala msiba.wa.msanii.ili upate umbea ha ha ha ha ila we mtu kwakweli hapana
We dada upo?
Nilikuwa na dili...hukutokea.
Tutafutane
 
imebidi nizame instagram nimcheck MLITOZ ... nikasema kijana sio rizki maana mrembo....nikataka kujua ni ME or KE ....nikasema ngoja nifatilie zaidi... nikakuta picha amevaa gauni kumbe ni KE bwana...dah nikachoka!!

Sasa swali langu jibu sijapata zile ndevu anashikashika kapandikizwa au ndio mambo ya MEKE hormonezzzz OR......
 
Back
Top Bottom