Tunda Achana na mlitoz

Tunda Achana na mlitoz

2819062231045091b20f9ea7bd66cc93.jpg


huyu demu sijui anajionaga ana dushe
 
Ni juzi tu umetoka polisi kwa kesi ya madawa ya kulevya, na video clip yako imeonekana kwenye mitandao kiukweli kutokana na ulivyoongea ni dhahiri kuwa umejifunza kitu,umeongea kwa hisia na kwa adabu, kuwa hautarudia kilichotokea,

Hapo nakupa Big Up nakupa hongera kwa kukiri ni kweli ulikuwa unatumia madawa na sasa hivi mpo na akina T.ID na rommy jones kwenye campaign za kuzuia madawa,hiyo imekaa poa,

Kilichonishtua ni ukaribu wako na msagaji maarufu bongo mlitoz, Huyo msichana ana sifa mbaya sana, kashamkoboa sana lulu Michael na mastaa wengine kibao, mashilawadu wanakuona siku hizi uko zero distance na hyo msagaji ,wameniambia nikuonye mdogo wao usiingie huko tena ukaanza kuharibika,

Tunda we bado mdogo na mzuri sana tu, Kama shule umeona hauwezi (maana si mchezo kusoma kipaji kama huna usilazimishe) ni bora ukaweka nguvu zako kwenye u video vixen, modelling hata bongo movie pia unalipa,

Achana na ma group ya hao mashoga na wavuta unga watakuharibia maisha, wewe mwenyewe uliona ulivyokuwa ndani wale ma best zako mnaokunywaga wote ma Moet hawakuwepo, ulikua mwenyewe tu, muulize lulu kuhusu marafiki atakuhadithia, badilika
Natanguliza samahani,ivi wewe ni wa kike au wakiume?
 
Mpwa warumi umesahau kwenye ngoma moja na Tunda Mkubwa (kama sikosei), huyu Tunda Mdogo alishawahi kucheza nafasi anasagwa?! Unaikumbuka hiyo ngoma tena wakati ule kalikuwa kadogo dogo tu!! Isije ikawa anataka ku-practice!!
Hiyo ni ngoma ya Matonya
 
Back
Top Bottom