Tunda Achana na mlitoz

Haha Ila huyu mlitoz naweza mpa dudu hadi asahau usagaji..Akapige shopping ya marinda bila mimi kuwambia na aje aitishe mimba mwenyewe
 
Nilitaka kushangaa sana kutoona utetezi wako[emoji1] [emoji2]
 
ubuyu wa enzi.zile unaenda dirishani.kwa wema kuwachungulia wema na diamond...
unaenda kulala msiba.wa.msanii.ili upate umbea ha ha ha ha ila we mtu kwakweli hapana
We dada upo?
Nilikuwa na dili...hukutokea.
Tutafutane
 
imebidi nizame instagram nimcheck MLITOZ ... nikasema kijana sio rizki maana mrembo....nikataka kujua ni ME or KE ....nikasema ngoja nifatilie zaidi... nikakuta picha amevaa gauni kumbe ni KE bwana...dah nikachoka!!

Sasa swali langu jibu sijapata zile ndevu anashikashika kapandikizwa au ndio mambo ya MEKE hormonezzzz OR......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…