hee hao kweli hawaingii kabisa.Zarau au kweli??
Mfano.
Mchukue vanessa mdee nani yule maua sijui nani embu wa combined toa sura moja wanaingia kwa tunda??
Una utoto mwingi, ukikuwa utaacha.Bhaaana weeee Sikia nikuambie Bro Baba ako anakutafutia sponsorship ukasome ulaya Na wewe unatafuta sponsor wakukufundisha umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haya mambo waachie wanawake wenyewe..Zarau au kweli??
Mfano.
Mchukue vanessa mdee nani yule maua sijui nani embu wa combined toa sura moja wanaingia kwa tunda??
Yani mm mwanaume jukumu langu la kujua demu mkali niwaachie wanawake?haya mambo waachie wanawake wenyewe..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mtoto ili kumuokoa na majanga ya dunia ya karne hii....ni kumpa mimba.......hawezi elewa kwa sasa lkn huo ni msaada mkubwa sana kwake
LuluKuna msanii bongo au wote combined ana sura nzuri kama huyu demu?..
Btw she is for real
[emoji23][emoji23][emoji23]"au wote combined"
dah hizi dharau sasa.
Huyo mbona haingii hata chembe kwa Tunda mbona. Yani iyo ni Fact!Lulu
Una utoto mwingi, ukikuwa utaacha.
Aaah wewe kwa mtanzania usiseme alikuwa anatania hii nchi ina maajabu yake bwana kwani hilo nalo ajabu?Atakuwa kamtania tu
Unaandika ujinga mwingi ili uonekane ni member mwenye post nyingi humu jamiiforums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah pole sana kwa kutojitambua.Kocha msaidizi wa Chelsea, Gianfranco Zola, amesema kiungo Eden Hazard akifuta mpango wa kwenda Real Madrid na kukubali kubaki atakuwa nyota wa muda wote ndani ya klabu hiyo.
Tunda ni takoless, sura na rangi ya ngozi yupo vizuri, ila hana tako au tako lenye mvuto wa kulia chuma mboga!!!!!Huyo mbona haingii hata chembe kwa Tunda mbona. Yani iyo ni Fact!
Hapo ata kipofu ataona na uwezekano wa kiziwi kusikia ni mkubwa.
Kwanza kwa urefu tu uyo lulu kashakua disqualified. Ukija kwenye sura ndo kapigwa KO takatifu. Kwenye uhalisia ndo kabisa TKO
Tatizo mimi sio MENDE so sipingani na wewe hata kidogo.Tunda ni takoless, sura na rangi ya ngozi yupo vizuri, ila hana tako au tako lenye mvuto wa kulia chuma mboga!!!!!