Tunda afichua ufaulu nilipata division two form four

Tunda afichua ufaulu nilipata division two form four

Bhaaana weeee Sikia nikuambie Bro Baba ako anakutafutia sponsorship ukasome ulaya Na wewe unatafuta sponsor wakukufundisha umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una utoto mwingi, ukikuwa utaacha.
 
Unamueleza daktari kuwa unamatatizo ya uzazi. Anasema huenda ni matatizo ya ukoo, ulishamuuliza mama yako kama aliwahi kushika mimba!
 
Huyo mbona haingii hata chembe kwa Tunda mbona. Yani iyo ni Fact!

Hapo ata kipofu ataona na uwezekano wa kiziwi kusikia ni mkubwa.

Kwanza kwa urefu tu uyo lulu kashakua disqualified. Ukija kwenye sura ndo kapigwa KO takatifu. Kwenye uhalisia ndo kabisa TKO
 
Kocha msaidizi wa Chelsea, Gianfranco Zola, amesema kiungo Eden Hazard akifuta mpango wa kwenda Real Madrid na kukubali kubaki atakuwa nyota wa muda wote ndani ya klabu hiyo.
Una utoto mwingi, ukikuwa utaacha.
 
Kocha msaidizi wa Chelsea, Gianfranco Zola, amesema kiungo Eden Hazard akifuta mpango wa kwenda Real Madrid na kukubali kubaki atakuwa nyota wa muda wote ndani ya klabu hiyo.
Unaandika ujinga mwingi ili uonekane ni member mwenye post nyingi humu jamiiforums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah pole sana kwa kutojitambua.
 
Huyo mbona haingii hata chembe kwa Tunda mbona. Yani iyo ni Fact!

Hapo ata kipofu ataona na uwezekano wa kiziwi kusikia ni mkubwa.

Kwanza kwa urefu tu uyo lulu kashakua disqualified. Ukija kwenye sura ndo kapigwa KO takatifu. Kwenye uhalisia ndo kabisa TKO
Tunda ni takoless, sura na rangi ya ngozi yupo vizuri, ila hana tako au tako lenye mvuto wa kulia chuma mboga!!!!!
 
Tunda ni takoless, sura na rangi ya ngozi yupo vizuri, ila hana tako au tako lenye mvuto wa kulia chuma mboga!!!!!
Tatizo mimi sio MENDE so sipingani na wewe hata kidogo.

So kwa fantasy zako izo na sexual orientation yako, I have nothin useful to add!

Thank You
 
Back
Top Bottom