Tunda ananikwaza na tabia yake ya kujiachia achia hovyo na midume na kupiga picha za nusu utupu

Kama huna kisu basi waachie wenye visu vyao wale nyama kikatili
 
Katika malengo yangu ya 2017 ilikuwa kumgegeda huyu demu ila naona mwaka unakata sihatimiza lengo langu.. ngoja niendelee kutafuta hela *****
Aiseeee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa kweli hamna kitu anachonikwaza Tunda kama nikimuona akijiachia achia hovyo na midume ya ajabu ajabu ajabu huwa nagadhibika sana.

Yaani naona kabisa siku hizi anataka kuwa kama hawa vinuka mkojo akina Gigy Money na Amber Lulu maana hawa hawajui kabisa thamani ya mwanamke ndio maana kila kukicha wanayaanika anika hovyo maumbile yao.

Sasa naumia kumuona Tunda anazidi kupotea siku hizi ,sijui anakosa nini huyu binti daah .

Sina mengi mengine ngoja nibaki nayo tu moyoni nitayatoa siku zijazo .

View attachment 633693

View attachment 633694
Kwangu tanhu lini aliwah kuwa na thaman mkuu
 
Nayeye unamkwaza kwa kuchukia kazi yake
 
Huyo Tunda wako nae muuza mwili na kinuka mikojo kama ulio wataja ...sijawai kuona tofauti yao......!
 
Kwa kweli hamna kitu anachonikwaza Tunda kama nikimuona akijiachia achia hovyo na midume ya ajabu ajabu ajabu huwa nagadhibika sana.

Yaani naona kabisa siku hizi anataka kuwa kama hawa vinuka mkojo akina Gigy Money na Amber Lulu maana hawa hawajui kabisa thamani ya mwanamke ndio maana kila kukicha wanayaanika anika hovyo maumbile yao.

Sasa naumia kumuona Tunda anazidi kupotea siku hizi ,sijui anakosa nini huyu binti daah .

Sina mengi mengine ngoja nibaki nayo tu moyoni nitayatoa siku zijazo .

View attachment 633693

View attachment 633694

Ww nawe nani kakuambia tuna haja yakuziona hizo picha, ww ndiyo unazidi kumuanika eti unajifanya kusikitika unafiki tu angekuwa mwanao ameharibika ungerusha hizi picha?
 
Back
Top Bottom