Tunda ananikwaza na tabia yake ya kujiachia achia hovyo na midume na kupiga picha za nusu utupu

Aiseèee!!

Kanishawishi kugonga kimoko cha fasta hapa maana si kwa uzuri huo.

Tunda Akhsante
 
Sio ndugu yako,siyo demu wako siyo rafiki yako siyo mtoto wako,anachokukwaza nini? kwa nini uendelee kumfatilia kwenye SM zake?
 
Nikiona tu neno Tunda humu najua ni post ya Hance...!
 

Kwa nini uumie, nature inamuweka mtu katika position yake. Huyo ndio yeye, na hayo ndio anavyotaka aonekane.
Kuna issues nyingi muhimu kwako, hebu zifanyie kazi kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…