Tunda la mzeituni

Soma kitabu cha mwanzo kurasa zote utaelewa tu mkuu!!
Hata mwalimu wako sio kwa uelewa wake ndio uliomfanya awe mwalm Bali ni kwa usaidizi wa wenzie ndio uliomfanya apate huo ualimu,


Kusoma kitabu mwenyewe na kukingamua mwenyewe inahitaji usaidizi.
 
Kwahiyo unathibitisha ni tunda ambalo ndo mzeituni sio?

OK km ni hivo mbona bado tunalila?

Je tukila tutazidi kujua mengine ?
 
Kama kauli ya "enendeni mkaijaze dunia" ilitoka kabla ya kula tunda basi jua tunda husika halikuwa tunda hilo unalohisi linapatikana mwilini... Maana isingewezekana wapewe kauli mbili tata Kuwa wakaijaze dunia na wakati huohuo waambiwe wasile tunda la mti wa kati! So go and check for it.. tunda halisi sijui ila hata komamanga ni tunda..😜
 
Adhabu ilikuja baada ya kula tunda
 
Hata mwalimu wako sio kwa uelewa wake ndio uliomfanya awe mwalm Bali ni kwa usaidizi wa wenzie ndio uliomfanya apate huo ualimu,


Kusoma kitabu mwenyewe na kukingamua mwenyewe inahitaji usaidizi.
Kwa kukusaidia tu biblia bila usaidizi wa rohomtakatifu kamwe hutaelewa!. Kabla ya kuanza kuisoma omba mwongozo wa msaada wa rohomtakatifu kwanza akusaidie kuelewa ujumbe huo wa Mungu naamini utakuja kutoa ushuhuda hapa.!!
 
Tunda lililoliwa na bibi yetu na babu yetu hatulijui mpaka sasa na halipo duniani tena.
Hata lile la uzima Mungu alisema; tazama huyu mtu ameshakuwa........ Soma mstari wa 22 hapo View attachment 1638498

Bas nazidi kujua mstari huo huo Mungu akasema asije akaishi milele? Bas hata wasingekula tunda wngekufa tu au inakuwaje
 
Kuna vitu vngine hatupaswi kujua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Tuviache kama vilivyo
 
Hakuna cha mzaituni wala mzambarau... Ni walifanya ngono, tena ngono zembe...




Cc: mahondaw
 
Biblia imeeleza mti wa katikati ya bustani wenye ujuzi wa mema na mabaya, na kuna mti mwingine wa uzima wa milele, ndio hawakutakiwa kula matunda yake. Unaeleza aje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…