Tunda la mzeituni

Tunda la mzeituni

D
Tunda lililoliwa na bibi yetu na babu yetu hatulijui mpaka sasa na halipo duniani tena.
Hata lile la uzima Mungu alisema; tazama huyu mtu ameshakuwa........ Soma mstari wa 22 hapo View attachment 1638498
Daaaah!! Nimesoma hiyo Verse 22. Kumbe Adam na Hawa wasingetolewa mapema Bustanini wangekula tunda LA Uzima.!!! Ina maana Leo tungekuwa tunaongea mengine
 
D

Daaaah!! Nimesoma hiyo Verse 22. Kumbe Adam na Hawa wasingetolewa mapema Bustanini wangekula tunda LA Uzima.!!! Ina maana Leo tungekuwa tunaongea mengine
Leo hii tungekuwa kwenye meza ya mazungumzo na Mungu namna tutakavyogawana ulimwengu kibabe
 
Ukiitiwa Fursa.....
Haa😀😁😂😀😅😄😄😃
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Lugha ya Biblia ikiwa na maana kuunganisha vikojoleo

Sasa kama lugha ya Biblia iko hivyo mbona mnashindwa kutafsiri kibiblia maana ya tunda alilokula Adam???--- nyinyi mnadhani alikula tunda in literal sense?!!!.

Mbona Yesu kisha toa maana ya tunda na mti kibibilia.
 
Acha longolongo
 
Back
Top Bottom