Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Tatizo ni kwamba wewe ni atheist, sasa sina muda wa kupoteza na wewe. Wewe amini ulitokana na nyani na mimi nitaendelea kuamini nilitokana na Adam na Eva.Mwandishi wa Kitabu cha mwanzo ni Nabii Musa (Mosses), huyo alikuwa ni mtu wa Mungu kwa maana hiyo lazima utazame maandiko yake kwa mtazamo wa kiroho zaidi.
Dhana yako kwamba Adam alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa inazo kasoro kubwa na wala haiingii akilini kwa mtu anayefikiri, shida iliyopo kwenu mnasoma maandiko ya kiroho yaliyokuwa mafumbo (metaphoricals) na kuyafanya dhahiri (literals).
Inaposemwa Eva alitokea ubavuni mwa Adam--- hiyo ni metaphor, na maana yake ni kwamba Eva aliendana na Adam kitabia kiasi kwamba wangeishi vyema kama mume na mke, inaposemwa Adam ni mtu wa kwanza maana yake ni yeye alikuwa ni mtu wa kwanza kuongea na Mungu.
Inaaminiwa kimakosa kwamba Adam na Eva ndiyo waliotuzaa wanadamu watu wote duniani hivyo watu wote wazazi wetu ni Adam na Hawa, sasa iweje kuna wazungu, Waafrika, native Americas, Aborigines nk, wote hao wakiwa na Genetic make up tofauti??, wazungu au Waafrica au Aborigines Genes (DNA) ni tofauti kati yao, hii maana yake ni kwamba kila race inacho chanzo na ndiyo maana kuna huo utofauti wa DNA.
Unaposema kwamba Genes za Akina Adam zilikuwa perfect inabidi ulete uthibitisho tujue ni mtaalamu gani alipima hiyo perfection.
Unadai Luti alizaa na wanawe (Mungu apishe mbali), lakini hukusema ni katika mazingira gani huyo Luti alifanyishwa uchafu huo, hujui kwamba alileweshwa kwanza??!!--- kwani mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya uchafu huo mbaya zaidi na bintiye!!! ndiyo maana wakamlewesha ili akili imtoke.
Bado nasisitiza kamwe haiwezekani huyo Adam awe ni mtu wa kwanza kuumbwa na awe ndiye aliyezaa watu wote duniani, never ever.
Huyo Adam aliyeishi takriban miaka 6,000 iliyopita awe ndiye aliyemzaa Zinanthropus Boisei aliyeishi katika Bonde la Oldivai takriban miaka 1000,000 iliyopita???!!🤣🤣 hata akili ya kichaa haitakubali kwamba Adam ni wa kwanza kuumbwa.
Kumbuka Nabii Nuhu ni kitukuu wa Adamu huyo mnayemsema ni mtu wa kwanza kuumbwa.
Suala la kwamba mwanadamu wa kwanza kulikuwa na Zinjanthropus miaka 100,000iliyopita, ambaye alikuwa ni ape, kwa hiyo Biblia haiko sahihi juu ya Adam kuwa mwanadamu wa kwanza ni juu yako. Ikiwa unaviamini vyombo vya wanadamu vinavyofanya radiocarbon dating kuwa viko perfect ni suala la uamuzi. Binafsi siamini kwamba hizo radiocarbon dating ziko accurate beyond miaka fulani kwenda nyuma na kuna siku wana sayansi watakiri hivyo. Effect ya Nitrogen kwenye artifacts watu bado hawajaifanyia uchunguzi wa makini.
Time and again, Biblia imeonekana kuwa kweli na wanasayansi waongo. Kwa hiyo hata hili la radiocarbon dating kwa sasa nitachukulia kwamba wanasayansi ni waongo.
Incidentally, kama huamini simulizi la Biblia juu ya Adamu hupaswi kuamini chochote kilicho kwenye Biblia. Choice ni yako. Biblia haiwezi kuwa so accurate katika mambo ambayo yanawashangaza hata wana sayansi, thn iwe imeandika jambo lisilo kweli kuhusu Adam. Any time kuna contradiction between Biblia na wanasayansi I will take the side of the Bible, kwa kuwa mara nyingi the Bible has proven to be true in what scientsts claimed to be false before they admitted the Bible was right and they were wrong all along.
Endelea kuamini uli-evolve kutoka Zinanthropus. Cha ajabu ni kwamba huamini Adam na Eva walizaa races zote duniani, lakini unaamini races zote duniani zilitokana na Zinjanthropus ape!
For your information Mr. ape man, you need stronger faith to believe in the theory of evolution that in what the Bible says!
How Accurate is Carbon Dating?
At least to the uninitiated, carbon dating is generally assumed to be a sure-fire way to predict the age of any organism that once lived on our planet. Without understanding the mechanics of it, we put our blind faith in the words of scientists, who assure us that carbon dating is a reliable method of determining the ages of almost everything around us. However, a little more knowledge about the exact ins and outs of carbon dating reveals that perhaps it is not quite as fool-proof a process as we may have been led to believe.
What is Carbon Dating?
At its most basic level, carbon dating is the method of determining the age of organic material by measuring the levels of carbon found in it. Specifically, there are two types of carbon found in organic materials: carbon 12 (C-12) and carbon 14 (C-14). It is imperative to remember that the material must have been alive at one point to absorb the carbon, meaning that carbon dating of rocks or other inorganic objects is nothing more than inaccurate guesswork.All living things absorb both types of carbon; but once it dies, it will stop absorbing. The C-12 is a very stable element and will not change form after being absorbed; however, C-14 is highly unstable and in fact will immediately begin changing after absorption. Specifically, each nucleus will lose an electron, a process which is referred to as decay. This rate of decay, thankfully, is constant, and can be easily measured in terms of ‘half-life’.
Half-life refers to the amount of time it takes for an object to lose exactly half of the amount of carbon (or other element) stored in it. This half-life is very constant and will continue at the same rate forever. The half-life of carbon is 5,730 years, which means that it will take this amount of time for it to reduce from 100g of carbon to 50g – exactly half its original amount. Similarly, it will take another 5,730 years for the amount of carbon to drop to 25g, and so on and so forth. By testing the amount of carbon stored in an object, and comparing to the original amount of carbon believed to have been stored at the time of death, scientists can estimate its age.
So what’s the Problem?
Unfortunately, the believed amount of carbon present at the time of expiration is exactly that: a belief, an assumption, an estimate. It is very difficult for scientists to know how much carbon would have originally been present; one of the ways in which they have tried to overcome this difficulty was through using carbon equilibrium.Equilibrium is the name given to the point when the rate of carbon production and carbon decay are equal. By measuring the rate of production and of decay (both eminently quantifiable), scientists were able to estimate that carbon in the atmosphere would go from zero to equilibrium in 30,000 – 50,000 years. Since the universe is estimated to be millions of years old, it was assumed that this equilibrium had already been reached.
However, in the 1960s, the growth rate was found to be significantly higher than the decay rate; almost a third in fact. This indicated that equilibrium had not in fact been reached, throwing off scientists’ assumptions about carbon dating. They attempted to account for this by setting 1950 as a standard year for the ratio of C-12 to C-14, and measuring subsequent findings against that.
Has it Worked?
In short, the answer is… sometimes. Sometimes carbon dating will agree with other evolutionary methods of age estimation, which is great. Other times, the findings will differ slightly, at which point scientists apply so-called ‘correction tables’ to amend the results and eliminate discrepancies.Most concerning, though, is when the carbon dating directly opposes or contradicts other estimates. At this point, the carbon dating data is simply disregarded. It has been summed up most succinctly in the words of American neuroscience Professor Bruce Brew: “If a C-14 date supports our theories, we put it in the main text. If it does not entirely contradict them, we put it in a footnote. And if it is completely out of date, we just drop it.”