Tunda la mzeituni

Tunda la mzeituni

Mwandishi wa Kitabu cha mwanzo ni Nabii Musa (Mosses), huyo alikuwa ni mtu wa Mungu kwa maana hiyo lazima utazame maandiko yake kwa mtazamo wa kiroho zaidi.

Dhana yako kwamba Adam alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa inazo kasoro kubwa na wala haiingii akilini kwa mtu anayefikiri, shida iliyopo kwenu mnasoma maandiko ya kiroho yaliyokuwa mafumbo (metaphoricals) na kuyafanya dhahiri (literals).

Inaposemwa Eva alitokea ubavuni mwa Adam--- hiyo ni metaphor, na maana yake ni kwamba Eva aliendana na Adam kitabia kiasi kwamba wangeishi vyema kama mume na mke, inaposemwa Adam ni mtu wa kwanza maana yake ni yeye alikuwa ni mtu wa kwanza kuongea na Mungu.

Inaaminiwa kimakosa kwamba Adam na Eva ndiyo waliotuzaa wanadamu watu wote duniani hivyo watu wote wazazi wetu ni Adam na Hawa, sasa iweje kuna wazungu, Waafrika, native Americas, Aborigines nk, wote hao wakiwa na Genetic make up tofauti??, wazungu au Waafrica au Aborigines Genes (DNA) ni tofauti kati yao, hii maana yake ni kwamba kila race inacho chanzo na ndiyo maana kuna huo utofauti wa DNA.

Unaposema kwamba Genes za Akina Adam zilikuwa perfect inabidi ulete uthibitisho tujue ni mtaalamu gani alipima hiyo perfection.

Unadai Luti alizaa na wanawe (Mungu apishe mbali), lakini hukusema ni katika mazingira gani huyo Luti alifanyishwa uchafu huo, hujui kwamba alileweshwa kwanza??!!--- kwani mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya uchafu huo mbaya zaidi na bintiye!!! ndiyo maana wakamlewesha ili akili imtoke.

Bado nasisitiza kamwe haiwezekani huyo Adam awe ni mtu wa kwanza kuumbwa na awe ndiye aliyezaa watu wote duniani, never ever.

Huyo Adam aliyeishi takriban miaka 6,000 iliyopita awe ndiye aliyemzaa Zinanthropus Boisei aliyeishi katika Bonde la Oldivai takriban miaka 1000,000 iliyopita???!!🤣🤣 hata akili ya kichaa haitakubali kwamba Adam ni wa kwanza kuumbwa.

Kumbuka Nabii Nuhu ni kitukuu wa Adamu huyo mnayemsema ni mtu wa kwanza kuumbwa.
Tatizo ni kwamba wewe ni atheist, sasa sina muda wa kupoteza na wewe. Wewe amini ulitokana na nyani na mimi nitaendelea kuamini nilitokana na Adam na Eva.

Suala la kwamba mwanadamu wa kwanza kulikuwa na Zinjanthropus miaka 100,000iliyopita, ambaye alikuwa ni ape, kwa hiyo Biblia haiko sahihi juu ya Adam kuwa mwanadamu wa kwanza ni juu yako. Ikiwa unaviamini vyombo vya wanadamu vinavyofanya radiocarbon dating kuwa viko perfect ni suala la uamuzi. Binafsi siamini kwamba hizo radiocarbon dating ziko accurate beyond miaka fulani kwenda nyuma na kuna siku wana sayansi watakiri hivyo. Effect ya Nitrogen kwenye artifacts watu bado hawajaifanyia uchunguzi wa makini.

Time and again, Biblia imeonekana kuwa kweli na wanasayansi waongo. Kwa hiyo hata hili la radiocarbon dating kwa sasa nitachukulia kwamba wanasayansi ni waongo.

Incidentally, kama huamini simulizi la Biblia juu ya Adamu hupaswi kuamini chochote kilicho kwenye Biblia. Choice ni yako. Biblia haiwezi kuwa so accurate katika mambo ambayo yanawashangaza hata wana sayansi, thn iwe imeandika jambo lisilo kweli kuhusu Adam. Any time kuna contradiction between Biblia na wanasayansi I will take the side of the Bible, kwa kuwa mara nyingi the Bible has proven to be true in what scientsts claimed to be false before they admitted the Bible was right and they were wrong all along.

Endelea kuamini uli-evolve kutoka Zinanthropus. Cha ajabu ni kwamba huamini Adam na Eva walizaa races zote duniani, lakini unaamini races zote duniani zilitokana na Zinjanthropus ape!

For your information Mr. ape man, you need stronger faith to believe in the theory of evolution that in what the Bible says!

How Accurate is Carbon Dating?​

At least to the uninitiated, carbon dating is generally assumed to be a sure-fire way to predict the age of any organism that once lived on our planet. Without understanding the mechanics of it, we put our blind faith in the words of scientists, who assure us that carbon dating is a reliable method of determining the ages of almost everything around us. However, a little more knowledge about the exact ins and outs of carbon dating reveals that perhaps it is not quite as fool-proof a process as we may have been led to believe.

What is Carbon Dating?

At its most basic level, carbon dating is the method of determining the age of organic material by measuring the levels of carbon found in it. Specifically, there are two types of carbon found in organic materials: carbon 12 (C-12) and carbon 14 (C-14). It is imperative to remember that the material must have been alive at one point to absorb the carbon, meaning that carbon dating of rocks or other inorganic objects is nothing more than inaccurate guesswork.

All living things absorb both types of carbon; but once it dies, it will stop absorbing. The C-12 is a very stable element and will not change form after being absorbed; however, C-14 is highly unstable and in fact will immediately begin changing after absorption. Specifically, each nucleus will lose an electron, a process which is referred to as decay. This rate of decay, thankfully, is constant, and can be easily measured in terms of ‘half-life’.

Half-life refers to the amount of time it takes for an object to lose exactly half of the amount of carbon (or other element) stored in it. This half-life is very constant and will continue at the same rate forever. The half-life of carbon is 5,730 years, which means that it will take this amount of time for it to reduce from 100g of carbon to 50g – exactly half its original amount. Similarly, it will take another 5,730 years for the amount of carbon to drop to 25g, and so on and so forth. By testing the amount of carbon stored in an object, and comparing to the original amount of carbon believed to have been stored at the time of death, scientists can estimate its age.

So what’s the Problem?

Unfortunately, the believed amount of carbon present at the time of expiration is exactly that: a belief, an assumption, an estimate. It is very difficult for scientists to know how much carbon would have originally been present; one of the ways in which they have tried to overcome this difficulty was through using carbon equilibrium.

Equilibrium is the name given to the point when the rate of carbon production and carbon decay are equal. By measuring the rate of production and of decay (both eminently quantifiable), scientists were able to estimate that carbon in the atmosphere would go from zero to equilibrium in 30,000 – 50,000 years. Since the universe is estimated to be millions of years old, it was assumed that this equilibrium had already been reached.

However, in the 1960s, the growth rate was found to be significantly higher than the decay rate; almost a third in fact. This indicated that equilibrium had not in fact been reached, throwing off scientists’ assumptions about carbon dating. They attempted to account for this by setting 1950 as a standard year for the ratio of C-12 to C-14, and measuring subsequent findings against that.

Has it Worked?

In short, the answer is… sometimes. Sometimes carbon dating will agree with other evolutionary methods of age estimation, which is great. Other times, the findings will differ slightly, at which point scientists apply so-called ‘correction tables’ to amend the results and eliminate discrepancies.

Most concerning, though, is when the carbon dating directly opposes or contradicts other estimates. At this point, the carbon dating data is simply disregarded. It has been summed up most succinctly in the words of American neuroscience Professor Bruce Brew: “If a C-14 date supports our theories, we put it in the main text. If it does not entirely contradict them, we put it in a footnote. And if it is completely out of date, we just drop it.”

What does this mean for Contemporary Carbon Dating?

Essentially, this means that carbon dating, though a useful tool, is not 100% reliable. For example, recently science teams at the British Antarctic Survey and Reading University unearthed the discovery that samples of moss could be brought back to life after being frozen in ice. The kicker? That carbon dating deemed the moss to have been frozen for over 1,500 years. Now, if this carbon dating agrees with other evolutionary methods of determining age, the team could have a real discovery on their hands. Taken alone, however, the carbon dating is unreliable at best, and at worst, downright inaccurate.
 
Tatizo wewe ni Antiscientist, unapinga mchango wa sayansi hata katika maendeleo yako mwenyewe, bila sayansi wewe leo ungeweza kuandika hicho unachofikiri kwamba Adamu ni mtu wa kwanza kuumbwa na watu wote hapa tukasoma???

Kuhusu Atheism, mimi naamini uwepo wa Mungu lakini siamini kibubusa kila kilichoandikwa ndani ya vitabu, kumbuka sio kila kilichoandikwa ndani ya Biblia huwa kina maana ya moja kwa moja (literal meaning), na kuna mifano mingi ndani ya Biblia ambapo Yesu na manabii wengine wameongea kwa mifano ambayo inahitaji ufafanuzi wa kiroho ili kujua maana za mifano hiyo, Tukio la Adam na Eva ni moja ya mifano hiyo inayowasumbua watu wengi sana.

Lazima ujue kwamba toka kuumbwa kwa dunia, dunia imepitia circles mbalimbali na katika hizo circles wamepita watu wenye sifa na maumbo mbalimbali, mfano 4,5 milions years ago katika Africa walikuwpo Austrolepithecus, 2.3 millions years ago katika Africa wakawepo Homohabillis, 2 millions years ago wakawepo Homoerectus hadi miaka milioni kadhaa iliyopita wakatokea Homosapiens ndani ya zama hizi zetu ambao ndio watu wa leo na Adam na Eva wametokea katika Homosapiens. kumbuka hao wote ni primates pamoja na akina Apes (Gorila sokwe, Orangotang) lakini sio kwamba Binadamu wa leo Homosapien ametokana na hao Apes, Apes ni kiumbe kingine na Himosapiens ni kiumbe kingine licha ya kwamba wote ni primates, mfano Mamba na kenge japo kuna aina tofauti za mamba na aina tofauti za kenge lakini kenge sio mamba wala mamba sio kenge japo wote ni Reptiles.

Adam anakuwa mtu wa kwanza kupokea ujumbe wa kiroho kwa jamii ya Homosapiens kwasababu katika primates wote aliyepevuka kiakili kuliko wenzake ni Homosapien ndiyo maana Mungu akamteua Adam awe ni Homosapien wa kwanza kupokea maono ya kiroho kwa ajili ya jamii yake alimokuwa akiishi lakini yeye hakuwa (Homosapien) mtu wa kwanza kuumbwa, sisi sote leo tunaitwa wanadamu kwa heshima ya huyo Adamu ambaye anakuwa ni baba yetu wa kiroho tu na sio kwamba yeye ndiye alikuwa chimbuko letu kimwili (sio baba yetu wa kimwili), haiwezekani Mbilikimo wa misitu ya Congo (The congo forest pygi) na Native Americans wawe na the same progenitor DNA zao ni tofauti kabisa.

Umeleta mada ya Radio carbon dating, nakushauri fungua uzi specifically na unikaribishe tujadili kwani mada in hand ni juu ya tunda alokula Adamu na je yeye ni mtu wa kwanza kuumbwa kama (sub title).
 
Back
Top Bottom