Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

Kuna vitu viwili huvijui
1)Kushuka thamani ya mwanamke
2)Kushuka na kupanda kwa brand

Hujui nini maaana ya thamani hasa kwa mwanamke wewe, Tunda alikuwa miaka ya 2016 huko ndio alikiwa Prime ya usichana wake pia na Brand yake bongo ila kwasasa Tunda mwili umepwaya na Brand hana tena.

Ndalo kwasasa Ana Brand na yupo kwenye spotlight, mfano kama uliona kupanda kwa Whozu kipindi anacheza video za wasanii kama Diamond huku kashika mapanga usingetegemea kabisa kama atakuja kuwa na wema ila kapanda Brand na wema kasshuka.
 
Huyo bado binti mbichi atulie apate bwana wa maana kama kipindi kile yupo na Kinje
Hivi Tunda atapata bwana gani wa maana? Au hapo zaman ukimtoa Kinje mwingne yupi wa maana? Kwa mapito ya Tunda sijui km atapata bwana wa maana akaolewaa.

Hii bahati kaipata mama ubayaa imetosha, hata nae karoga sanaaa.
 
Mama ubaya ndio nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…