Tunda wewe ndio Cleopatra wa Tanzania

Limetokea jina la huyo brigedia baada ya kuchukua jina langu sehemu zote zenye jina langu wameandika brigedia
 
sawa mkuu nitafanya hivyo,nahisi pia na hii watanipa ban muda sio mrefu
Fanya hivyo, achana na jina la hance tumia jina jengine tu mkuu halafu baada ya mwezi mmoja anzisha thread ya kumsifia tunda[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
*nyota[emoji294] yako babu wa loliondo kasema jina hili la hance huna bahati nalo[emoji1] [emoji1]
*kwanza hata ukitumia jina la Iceman 3D au supermarket halafu ukaanzisha thread ya kumsifia tunda tu tutakujua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu ngoja nifanye hivyo
 
nouma sana mganga wa loliondo yule babu
 
saa hz anajiita hance billionea
Nimemuona: hatatimiza masaa 24 huyu atapigwa ban tena[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
nouma sana mganga wa loliondo yule babu
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Ndo huyo huyo kasema jina la hance kwenye nyota litapoteza mvuto. Na sisi mashabiki wake tunamuhitaji bado
 
Demu wa mwisho kuchat nae PM ni nani masaa machache kabla ya ban??[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
kwa id ya hance mtanashati sr sijawahi kwa kweli kuongea na mtu yoyote pm isipokuwa niliwafata mods akiwemo maxence mello na wengineo wanipe sababu ya kuigawa account yangu


Ila kwa hance mtanashati kwa kweli sikumbuki wa mwisho alikuwa nani kwa maana nilipewa ban wiki iliyopita kwa kuvujisha Id's za the book
 
Hamna kitu hapo bora yule mtoto wa Arusha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…