Tunda unazidi ku shine na uzuri wako unakuwa mara mbili zaidi ya jana kila kukicha
Ni ukweli usiopingika kuwa wewe ndiye Cleopatra tuliokuwa tunakusubiri kwa muda mrefu baada ya yule Cleopatra wa zamani kufariki
View attachment 402209
View attachment 402210
View attachment 402211
Huyu anaitwa nani?Labda Cleopatra wa ukoo wenu mkuu. Binti tumiguu ka fito na chura hoiii bin taaaban ndo unamvika uCleopatra? Are you serious? Huyu akiwa Cleopatra huyu binti hapa chini mwenye uso wa kitoto, mamiguu ya bia, chura asiyetulia na anayekuja kwa kasi sana hapa Bongo tumwiteje? Au hujui wasifu na maana ya Cleopatra? Aaaargh !!!
View attachment 402230
hauko seriousTunda unazidi ku shine na uzuri wako unakuwa mara mbili zaidi ya jana kila kukicha
Ni ukweli usiopingika kuwa wewe ndiye Cleopatra tuliokuwa tunakusubiri kwa muda mrefu baada ya yule Cleopatra wa zamani kufariki
View attachment 402209
View attachment 402210
View attachment 402211
Cleopatra gani anadanga mahotelini bana weeeeHana hata takko afu unampa uzuri wote Huo, kuwa serious asee
Ha ha ha bora andunje lulu kadanga majumba huyu anadanga misosiCleopatra gani anadanga mahotelini bana weeee
Hahah binti kwa menyu huyuHa ha ha bora andunje lulu kadanga majumba huyu anadanga misosi
Labda jamaa domozege anaona hizi sredi zitamsaidia. Wanaomfahamu huyo Tunda mpelekeeni links za hizi sredi ili angalau ujumbe ufike!Si umtafute tu umwambie unampenda?Au unahisi atakutafuta kisa unamsifia?
Unaniangusha kijana wewe unampenda binti hebu shusha ndoano yako umnasue...
Yani anaboa balaaaaLabda jamaa domozege anaona hizi sredi zitamsaidia. Wanaomfahamu huyo Tunda mpelekeeni links za hizi sredi ili angalau ujumbe ufike!
Kweli ni mzuri sana huyu binti, lakini hawezi kunizidi mimi[emoji108] [emoji108]Tunda unazidi ku shine na uzuri wako unakuwa mara mbili zaidi ya jana kila kukicha
Ni ukweli usiopingika kuwa wewe ndiye Cleopatra tuliokuwa tunakusubiri kwa muda mrefu baada ya yule Cleopatra wa zamani kufariki
View attachment 402209
View attachment 402210
View attachment 402211
Inawezekana Mtoa Mada ndo Tunda mwenyewe ...Katika wasichana wa kawaida huyu Tunda ni wa kawaida sana! Halafu mbona wampigia promo sana why?? Kuna behind-the-scenes??
Labda Cleopatra wa ukoo wenu mkuu. Binti tumiguu ka fito na chura hoiii bin taaaban ndo unamvika uCleopatra? Are you serious? Huyu akiwa Cleopatra huyu binti hapa chini mwenye uso wa kitoto, mamiguu ya bia, chura asiyetulia na anayekuja kwa kasi sana hapa Bongo tumwiteje? Au hujui wasifu na maana ya Cleopatra? Aaaargh !!!
View attachment 402230
Una chura anae ruka ruka? ?Kweli ni mzuri sana huyu binti, lakini hawezi kunizidi mimi[emoji108] [emoji108]