billduke
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 860
- 898
Tunda unazidi ku shine na uzuri wako unakuwa mara mbili zaidi ya jana kila kukicha
Ni ukweli usiopingika kuwa wewe ndiye Cleopatra tuliokuwa tunakusubiri kwa muda mrefu baada ya yule Cleopatra wa zamani kufariki
View attachment 402209
View attachment 402210
View attachment 402211
Halafu we jamaa unaonekana unampenda sana huyu mwanamke ni mara ya pili unakuja kumpa sifa zako unazozijua mwenyewe...
We kama umempenda mfate huko Instragram mwambie hizo sifa zako...sio kuja hapa kulialia.
...Mtake radhi Cleopatra.