Tundu A. M. Lissu & "Protocol Security" yake....


You cowards! Msijifanye hamuumii. Ni zamu yenu kuvumilia torture. Mungu hachezewi ngoma za kihuni.

Tulieni mjionee malipo ya uovu wenu hapa hapa Tanzania.
 
You cowards! Msijifanye hamuumii. Ni zamu yenu kuvumilia torture. Mungu hachezewi ngoma za kihuni.

Tulieni mjionee malipo ya uovu wenu hapa hapa Tanzania.
😂🤣😂🤣😂🤣Povu la Nini lote hili! Sasa nani anayeumia Kati yangu na weye🤣😂🤣😂😂! Poor fella!
 

Huna ulijualo wewe, ndugu yangu...

Watawala wako ni watu tu. Hawawezi kulizuia kusudi la Mungu kamwe...

Umewahi kumsikia mtu mmoja wa haki sana anayeitwa kwa jina la Yesu Kristo aliyeishi miaka 2000 iliyopita hapa duniani?

Unaijua historia yake? Unajua alikuwa anapambana na binadamu wa namna gani wakati huo?

Hujui wewe. Ungekuwa unajua usingeleta mzaha huu....

Kwa taarifa yako serikali yote Kirumi/Kiyahudi ilikuwa inapambana na mtu mmoja kwa miaka takribani 3.5 kwa hoja na kwa silaha (kuutafuta uhai wake)...

Ndivyo ilivyo leo. Lissu mmoja vs Serikali na CCM yote....!
 
Maccm yana roho mbaya kama michawi, nikikumbuka walichomfanyia Mwakyembe nabaki mdomo wazi.
 
Tukuelimishe kidogo. Kwenye platformvya siasa, allegations hazihitaji proof mahakamani....
Wewe ndie unayehitaji kuelimishwa. Unaelewa maana ya allegations?

Allegation ni “claim or assertion that someone has done something illegal or wrong, typically one made without proof”

Ukiropoka jukwaani au sehemu nyingine yoyote (isipokuwa bungeni), unaweza kushtakiwa mahakamani. Au unadhani zile kesi za “uchochezi” washtakiwa hawakutamka maneno kwenye platform za siasa?
 
Kuna taarifa majasusi toka ng'ambo wanafuatilia usalama wake kufichua njama na kuparalyse maadui zake
 
Walinzi wa Lissu utimamu wao niwakutiliwa mashaka. Wakikimbia miguu yao inavyogusa ardhi utadhania makinda ya bata. Leo wamejifunika skafu nyekundu utafikiria wale magaidi wa tamil tigers.
 
"Kwa sasa Chama kingejaribu kumuweka sawa na kumwambia aepuke kurusha allegations nzito na ambazo anajua akiambiwa atoe evidence atakuwa hana na wanaweza kumbana kwa sheria zilizopo".
Nina wasi wasi wanaweza kumtafutia sababu za kumuengua atakapo rudisha fomu, pamoja na kwamba haitokuwa rahisi. Lakini kwa utawala huu usivyokuwa na aibu wanaweza wakamkata kweli.
Ila kumuua siamini kama watakuwa punguani kiasi hicho. Kwa kipindi hiki adi kumalizika kwa uchaguzi Lissu ana ulinzi wa macho yanayo muangalia na masikio yanayo sikiliza kutoka ndani na nje ya nchi kwamba nini kitamtokea. Kwa tafsiri nyingine kumdhuru Lissu kwa kipindi hiki ni sawa na kujitoa muhanga, na siamini kwamba hakuna asiyejua kwamba usalama wa Lissu ni mtego hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…