TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
843
Reaction score
1,024
TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.

NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO.

Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia, anapaswa kukutana na Samia kama atatia nia, maana ile siasa yake na siasa ya Chama chao ni CCM level ya Tawi la Chuo Kikuu ambayo inaishi kwa visasi au heshima ya kambale mkubwa ndevu na Mtoto ndevu, anapaswa kufika shuleni Kizimkazi.

Kwa ilivyo namwona ako na kipaji cha kuchekesha apatiwe namba ya Coy Mzungu akiwa serious yeye na Eliud watatisha, anaitaka nchi wakati ameshindwa kutibu majeraha ya wachache, anaitaka nchi wakati ameshindwa kuunganisha roho zilizokinzana, anaitaka nchi wakati watu kadhaa tu ameshindwa kuwaongoza, apatiwe namba za Coy Mzungu haraka kama anaiwaza Jamhuri iwe mkononi mwake.

Yule Antipass anapaswa tena kufanyiwa udahili wa kisiasa, kwakuwa ana ufaulu mzuri Kidato cha sita basi asogee shuleni Kizimkazi kukumbushwa Chama cha siasa hakiendeshwi kama Kikoba, hakitumi meseji WhatsApp kumtengua Mwanachama, tupo kuwakumbusha misingi ya Utu, Nidhamu na kufuata Katiba yao.

Mwambieni Antipass anaweka Matundu kwenye mioyo ya Wana Ufipa, kama vifungu vichache vya Katiba ya Chama chao havifahamu ataweza Katiba ya Jamhuri? Kama watu wachache wanampelekesha ataweza kubeba maono ya Watanzania? Inafikirisha na kuwazisha, inachekesha pale ni Chamani ama Watu Baki, tumpatie namba za Coy wa Cheka Tu?

Inachekesha anayehubiri demokrasia anaiendesha Ufipa kwa mkono wa chuma, nasikia vikaoni huruhusiwi kuhoji, maelekezo yakitoka Nairobi yanapaswa kupokelewa kama yalivyo hupaswi kuedit script, waliokuwa kambi nae tofauti wakati wa Uchaguzi wanaishi kama wakiwa, wanakiona cha moto na mmoja mmoja anashughulikiwa, inatisha na kuogopesha kwa yule aliyejiita Mwanademokrasia na sasa amevua kofia tukiona sura yake halisi inafurahisha sana, Tundu anapaswa kurudi Kizimkazi University ale nondo za kuongoza Chama.

Mwalimu nasema Uamuzi ni wake, akitaka siasa safi ya kufika mbali na Ufipa majibu yako Kizimkazi, aje tumpe form ajiunge ale darasa, Demokrasia anayoitaka ipo CCM, ukweli na uwazi anaotaka Upo CCM, aje Kizimkazi tumpe form ila kama anasikiliza kutoka Nairobi basi Coy Mzungu tutampatia namba zake aende akachekeshe maana kwa yanayoendelea sasa ni zaidi ya Cheka Tu na Watu Baki.
 
Attachments

  • IMG-20250406-WA0585(1).jpg
    IMG-20250406-WA0585(1).jpg
    83.2 KB · Views: 28

Welcome Back Juma Juma 😄
 
I think hakuna muda ccm wanatakiwa kuwa happy kama muda huu

Coz lissu anaenda kuiua chadema kitu ambacho ndio ndoto ya CCM wengi chadema ife

Lissu anaenda kuigawa chadema kitu ambacho ndio maombi ya CCM waliowengi

Sasa maajabu nashangaa ccm wao ndio wamekuwa waoga wa chadema kusambaratika kila siku wanakuja na ushauri mpya 😄
 
G55 inanguvu kuliko CHADEMA ni hatari sana
 
LISSU CHAMA KINAMFIA MIKONONI KABLA YA JULAI 2025....!!
 
Uhuru wa kifikra n mawazo haujawahi kuwa huru toka dunia ianze. Hata wewe pia mawazo yako hayapo huru .
 
TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.

NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO.

Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia, anapaswa kukutana na Samia kama atatia nia, maana ile siasa yake na siasa ya Chama chao ni CCM level ya Tawi la Chuo Kikuu ambayo inaishi kwa visasi au heshima ya kambale mkubwa ndevu na Mtoto ndevu, anapaswa kufika shuleni Kizimkazi.

Kwa ilivyo namwona ako na kipaji cha kuchekesha apatiwe namba ya Coy Mzungu akiwa serious yeye na Eliud watatisha, anaitaka nchi wakati ameshindwa kutibu majeraha ya wachache, anaitaka nchi wakati ameshindwa kuunganisha roho zilizokinzana, anaitaka nchi wakati watu kadhaa tu ameshindwa kuwaongoza, apatiwe namba za Coy Mzungu haraka kama anaiwaza Jamhuri iwe mkononi mwake.

Yule Antipass anapaswa tena kufanyiwa udahili wa kisiasa, kwakuwa ana ufaulu mzuri Kidato cha sita basi asogee shuleni Kizimkazi kukumbushwa Chama cha siasa hakiendeshwi kama Kikoba, hakitumi meseji WhatsApp kumtengua Mwanachama, tupo kuwakumbusha misingi ya Utu, Nidhamu na kufuata Katiba yao.

Mwambieni Antipass anaweka Matundu kwenye mioyo ya Wana Ufipa, kama vifungu vichache vya Katiba ya Chama chao havifahamu ataweza Katiba ya Jamhuri? Kama watu wachache wanampelekesha ataweza kubeba maono ya Watanzania? Inafikirisha na kuwazisha, inachekesha pale ni Chamani ama Watu Baki, tumpatie namba za Coy wa Cheka Tu?

Inachekesha anayehubiri demokrasia anaiendesha Ufipa kwa mkono wa chuma, nasikia vikaoni huruhusiwi kuhoji, maelekezo yakitoka Nairobi yanapaswa kupokelewa kama yalivyo hupaswi kuedit script, waliokuwa kambi nae tofauti wakati wa Uchaguzi wanaishi kama wakiwa, wanakiona cha moto na mmoja mmoja anashughulikiwa, inatisha na kuogopesha kwa yule aliyejiita Mwanademokrasia na sasa amevua kofia tukiona sura yake halisi inafurahisha sana, Tundu anapaswa kurudi Kizimkazi University ale nondo za kuongoza Chama.

Mwalimu nasema Uamuzi ni wake, akitaka siasa safi ya kufika mbali na Ufipa majibu yako Kizimkazi, aje tumpe form ajiunge ale darasa, Demokrasia anayoitaka ipo CCM, ukweli na uwazi anaotaka Upo CCM, aje Kizimkazi tumpe form ila kama anasikiliza kutoka Nairobi basi Coy Mzungu tutampatia namba zake aende akachekeshe maana kwa yanayoendelea sasa ni zaidi ya Cheka Tu na Watu Baki.

View: https://www.instagram.com/p/DIGnO-SgdU9/?igsh=MXdlYzg5ZGI0Z3JoOA==
 
Back
Top Bottom