Uchaguzi 2020 Tundu Antipas Lissu hizi spana za Uchumi zigongelee now ili akili ziwakae sawa hao kijani

Thailand

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2019
Posts
275
Reaction score
795
Mheshimiwa kwanza pole kwa uchovu wa safari za kampeni. Napenda kukupongeza kwa elimu mujarabu unayoitoa kwa wananchi jinsi ya kujitambua na kusimamia haki zao.
Nampenda kukuomba uongeze hizi spana mbili ambazo zimekumpatiwa na serikali ya CCM Ila kiuhalisia Zina athali kubwa kwa watanzania hasa kiuchumi.

Spana ya kwanza
Ongezeko la deni la taifa
Kwa report ya mwaka 2019 july, deni la taifa liliongezeka mpaka kuifikia tsh trillion 65 kutoka tsh trillion 43 mwaka 2015 july deni alilorikuta Mh rais john lakini kwa kipindi chake Cha miaka 4 tu ya uongozi ameweza kukopa zaidi ya tsh trillion 22. Watanzania tulitegemea kuona deni la taifa linapunguzwa sio kuongezeka kitu ambacho Ni badden kwa watanzania Maskini.

Serikali yake inajinasibu kuwa Ni serikali ya wanyonge inayotumia Pesa za ndani. Swali, Hilo deni lilifikaje hapo? Mbinu ya kupunguza deni la taifa Ni pamoja na kupunguza anasa za serikali Ili matumizi yasiwe makubwa Ili serikali iweze kulipa deni Hilo baada ya mapato kuwa mengi. Kwa anasa hii serikali inayotumia hasa kipindi hiki Cha kampeni wananchi wanazani kwamba serikali unaweza kupunguza deni hili la taifa? Embu cheki gharama za kusafirisha na kulipa wasanii Ili kuweza kuleta mvuto wa kampeni zao, embu cheki msafara wa rais ulivyo mrefu wao wanasifia ma v8 yao. Embu cheki gharama ya kusafirisha watu kwenye maroli Ili kuhudhulia kampeni zao. Embu cheki mabangaloo wanayojengeana eti kisa ipo kwenye SHERIA, hivi upi Ni umuhimu wa serikali ya CCM Kama haiwezi hata kuzikataa SHERIA nyonyaji Kama hizi ziendelee kuumiza Uchumi wa watanzania! Serikali ijitokeze Ikili kwamba deni la taifa Ni pasua kichwa kwao kutokana na mifumo ya upigaji iliyoasisiwa ndani ya chama Cha mapinduzi.

Spana ya pili
Athali la kutoongezwa mishahara watumishi kiuchumi.
Bado watu hawajafafanuliwa ki undani juu ya athali za kudorola kwa Uchumi kutokana tamko la maksudi la Mh. Rais kuikataa kuwaongezea watumishi stahiki zao za mishahara bila kuzingatia SHERIA.
Kwenye Uchumi Kuna kitu kinafahamika Kama "multiplier effect" ambapo inamaanisha kwamba wezesha source moja ya Uchumi in monetary value Ili source hiyo isaidie kuwezesha source zaidi ya moja (nyingi) kukuza Uchumi wa taifa.

Kwa report ya uhakiki wa watumishi hewa ya mwaka 2018 mwezi March, ilionesha idadi ya watumishi Safi wa serikali ilikuwa Ni 494,554 hiyo Ni kwa mwaka huo. Mpaka Sasa tufanye idadi ya watumishi wa serikali Ni kiasi kidogo tu kwamba wapo 500,000. Sasa endapo serikali ingezingatia umuhimu wa kuwaongezea watumishi stahiki zao za mishahara kiasi kidogo tu Cha tsh 20000 Kila mtumishi. Ina maana Kila mwisho wa mwezi Uchumi wa watanzania ungekuwa unafurahi kupata (500000x20000) billion 10 ya ongezeko la mishahara yao.

Hiyo hela yote ingeingizwa kwenye Uchumi yote kwa maana wapo watumishi ambayo wangeenda kujenga hivyo kununulia mabati, cement hivyo VIWANDA vya UJENZI vingeongeza economies of scale yao nakuwaza kushindana na VIWANDA vya nje lakini kwa ubinafsi wa mtu mmoja hamezuia Mambo hayo yasifanyike kwa watumishi wetu. Kwa ongezeko Hilo la mishahara watumishi wangeweza kuinua sector zingine Kama za KILIMO, ufugaji, usafirishaji, NISHATI, MADINi, MAJI, AFYA, elimu Kuna watumishi wengi wameshindwa kumaliza nyumba zao na AFYA duni lakini kwa ukorofi wa magu aligoma kupandisha mishahara kwa watumishi kana kwamba haitambui SHERIA hiyo.

Mbona kwenda kuwajengea marais wastafu walioridhika na Maisha yao, wao na vizazi vyao ameenda haraka haraka Hadi kuzindua magorofa yao kwa kisingizio anatekeleza takwa la SHERIA ya mwaka 1999.

Kwa hiyo Kama Ni kesi ya uhujumu Uchumi tuanze kumshtaki magufuli kwa sababu amedumaza Uchumi wa watanzania kwa kipindi chote Cha miaka yake 5 bila sababu za msingi za kugoma kuwapandishia watumishi stahiki zao za mishahara.

Mheshimiwa tumia hizo spana kuwamaliza mbu wa kijani na waje wajibu hoja kwa vigezo vya kiuchumi.
 
MAWASILIANO
SAT imeimarisha pia huduma za mawasiliano kutoka asilimia 79 hadi kufikia asilimia 94, idadi ya watumiaji wa huduma za simu na data imeongezeka maradufu. Na tunafahamu umuhimu wa mawasiliano kwa binadamu, kwani yanatusaidia kufikisha taarifa mbalimbali za binafsi, kimaendeleo, kiuchumi, kiafya, kielimu na hata kisiasa.
 
Taifa letu halijawahi kupata kiongozi "MUONGO" kama huyu rais tulienae. Yani huyu jamaa ukiangalia kampeni zake anavyodanganya wananchi mpaka unajikuta unacheka kwa hasira. Halafu kuna ma "JUHA" yanakenua meno na kushangilia hovyo.

Tukumbushane baadhi ya uongo.
tapatalk_1570380250308.jpeg
 
Kama Kuna spana nyingine ambayo mheshimiwa unahisi Ajaitumia kwa mapana yake iweke hapa Ili tuwazuruge kijani wao wawe wajibuji wa hoja zetu zenye mashiko
 
MAWASILIANO
SAT imeimarisha pia huduma za mawasiliano kutoka asilimia 79 hadi kufikia asilimia 94, idadi ya watumiaji wa huduma za simu na data imeongezeka maradufu. Na tunafahamu umuhimu wa mawasiliano kwa binadamu, kwani yanatusaidia kufikisha taarifa mbalimbali za binafsi, kimaendeleo, kiuchumi, kiafya, kielimu na hata kisiasa.
Hayo mawasiliano wananchi wanayapata bure?
 
kwani spana kununua mandege ambayo hayaingizi faida..imeathiri uchumi pia
Tena unanua ndege kwa Pesa za ndani yaani serikali nyingi zinajiepusha na importation ila serikali yake inamwaga Pesa zote hizo kwa mabeberu. Unanua ndege huku nchini kwako hujajenga VYUO VYA marubani. Kwa kifupi kiuchumi tunasema mandege yake yanasaidia kukuza Uchumi wa mataifa mengine sio kwa watanzania
 
Mbinu ya wananchi wapenda mabadiliko huko MUSOMA kumsindikiza Wakala wa Chadema Hadi msimamizi akamuapisha haraka Sana itumike nchi nzima.
Mwambieni Lisu na VIONGOZi wote wasambaze ujumbe huu.
Hali hi ifanyike na siku ya kutangaza matokeo.wingi wa watu Ni mtaji.
NEC bila shinikizo hawaelewi.

Spana ziendelee sambamba na ujumbe huu.
 
Acha kumchosha tundu na namba, huyo zaidi ya umbea na majungu hakuna kitu anajua sasa unamtaka aanze kuongelea namba na logic? Come on, man, ...
 
Subiri na uone watu wanavyopindua meza kibabe
 
Hata 2015 ilikuwa hivyo hivyo, hakuna haja ya kutumia vijana wavuta bangi kuharibu mikutano ya watu. Sasa ni zamu ya Hashim Rungwe na yeye watamsikiliza vizuri kabisa.

mara mia hata rungwe, ingawa na yeye ameeunga pumba lakini anaongea vizuri sana! huyo mwanamke mwenye mguu mfupi asituharibie nchi bana
 
Mheshimiwa kwanza pole kwa uchovu wa safari za kampeni. Napenda kukupongeza kwa elimu mujarabu unayoitoa kwa wananchi jinsi ya kujitambua na kusimamia haki zao.
Nampenda kukuomba uongeze hizi spana mbili ambazo zimekumpatiwa na serikali ya CCM Ila kiuhalisia Zina athali kubwa kwa watanzania hasa kiuchumi.

Spana ya kwanza
Ongezeko la deni la taifa
Kwa report ya mwaka 2019 july, deni la taifa liliongezeka mpaka kuifikia tsh trillion 65 kutoka tsh trillion 43 mwaka 2015 july deni alilorikuta Mh rais john lakini kwa kipindi chake Cha miaka 4 tu ya uongozi ameweza kukopa zaidi ya tsh trillion 22. Watanzania tulitegemea kuona deni la taifa linapunguzwa sio kuongezeka kitu ambacho Ni badden kwa watanzania Maskini.

Serikali yake inajinasibu kuwa Ni serikali ya wanyonge inayotumia Pesa za ndani. Swali, Hilo deni lilifikaje hapo? Mbinu ya kupunguza deni la taifa Ni pamoja na kupunguza anasa za serikali Ili matumizi yasiwe makubwa Ili serikali iweze kulipa deni Hilo baada ya mapato kuwa mengi. Kwa anasa hii serikali inayotumia hasa kipindi hiki Cha kampeni wananchi wanazani kwamba serikali unaweza kupunguza deni hili la taifa? Embu cheki gharama za kusafirisha na kulipa wasanii Ili kuweza kuleta mvuto wa kampeni zao, embu cheki msafara wa rais ulivyo mrefu wao wanasifia ma v8 yao. Embu cheki gharama ya kusafirisha watu kwenye maroli Ili kuhudhulia kampeni zao. Embu cheki mabangaloo wanayojengeana eti kisa ipo kwenye SHERIA, hivi upi Ni umuhimu wa serikali ya CCM Kama haiwezi hata kuzikataa SHERIA nyonyaji Kama hizi ziendelee kuumiza Uchumi wa watanzania! Serikali ijitokeze Ikili kwamba deni la taifa Ni pasua kichwa kwao kutokana na mifumo ya upigaji iliyoasisiwa ndani ya chama Cha mapinduzi.

Spana ya pili
Athali la kutoongezwa mishahara watumishi kiuchumi.
Bado watu hawajafafanuliwa ki undani juu ya athali za kudorola kwa Uchumi kutokana tamko la maksudi la Mh. Rais kuikataa kuwaongezea watumishi stahiki zao za mishahara bila kuzingatia SHERIA.
Kwenye Uchumi Kuna kitu kinafahamika Kama "multiplayer effect" ambapo inamaanisha kwamba wezesha source moja ya Uchumi in monetary value Ili source hiyo isaidie kuwezesha source zaidi ya moja (nyingi) kukuza Uchumi wa taifa.

Kwa report ya uhakiki wa watumishi hewa ya mwaka 2018 mwezi March, ilionesha idadi ya watumishi Safi wa serikali ilikuwa Ni 494,554 hiyo Ni kwa mwaka huo. Mpaka Sasa tufanye idadi ya watumishi wa serikali Ni kiasi kidogo tu kwamba wapo 500,000. Sasa endapo serikali ingezingatia umuhimu wa kuwaongezea watumishi stahiki zao za mishahara kiasi kidogo tu Cha tsh 20000 Kila mtumishi. Ina maana Kila mwisho wa mwezi Uchumi wa watanzania ungekuwa unafurahi kupata (500000x20000) billion 10 ya ongezeko la mishahara yao.

Hiyo hela yote ingeingizwa kwenye Uchumi yote kwa maana wapo watumishi ambayo wangeenda kujenga hivyo kununulia mabati, cement hivyo VIWANDA vya UJENZI vingeongeza economies of scale yao nakuwaza kushindana na VIWANDA vya nje lakini kwa ubinafsi wa mtu mmoja hamezuia Mambo hayo yasifanyike kwa watumishi wetu. Kwa ongezeko Hilo la mishahara watumishi wangeweza kuinua sector zingine Kama za KILIMO, ufugaji, usafirishaji, NISHATI, MADINi, MAJI, AFYA, elimu Kuna watumishi wengi wameshindwa kumaliza nyumba zao na AFYA duni lakini kwa ukorofi wa magu aligoma kupandisha mishahara kwa watumishi kana kwamba haitambui SHERIA hiyo.

Mbona kwenda kuwajengea marais wastafu walioridhika na Maisha yao, wao na vizazi vyao ameenda haraka haraka Hadi kuzindua magorofa yao kwa kisingizio anatekeleza takwa la SHERIA ya mwaka 1999.

Kwa hiyo Kama Ni kesi ya uhujumu Uchumi tuanze kumshtaki magufuli kwa sababu amedumaza Uchumi wa watanzania kwa kipindi chote Cha miaka yake 5 bila sababu za msingi za kugoma kuwapandishia watumishi stahiki zao za mishahara.

Mheshimiwa tumia hizo spana kuwamaliza mbu wa kijani na waje wajibu hoja kwa vigezo vya kiuchumi.
Kila siku ninasikia mshahara kuongezwa kwa mujibu wa sheria ipi? Nitajie sheria na kanuni zake nami nijue?
 
mara mia hata rungwe, ingawa na yeye ameeunga pumba lakini anaongea vizuri sana! huyo mwanamke mwenye mguu mfupi asituharibie nchi bana
JK aliacha nchi ikiwa nzuri sana, JPM kaiharibu sana. Hivi ni kitu gani ambacho tunaweza mpongeza nacho JPM?
 
Back
Top Bottom