stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
JK aliacha nchi ikiwa nzuri sana, JPM kaiharibu sana. Hivi ni kitu gani ambacho tunaweza mpongeza nacho JPM?
Hakuna mwaka hamjasema ccm iliopita ndo nzuri , kuna kipindi ccm ilishambuliwa kama kipindi cha jk? Mpaka watu wakajiuzulu, Mara hatuna ndege sjui kikwete mpole, mtasema lipi hatulijui kwenu?
Unadhan hatujui mlivowafukuza wabunge kipindi cha corona