JK aliacha nchi ikiwa nzuri sana, JPM kaiharibu sana. Hivi ni kitu gani ambacho tunaweza mpongeza nacho JPM?
Wengine hatuna vyama, siyo kila mmoja akikosea utawala uliopo ni chadema au chama kingine cha upinzani. Huwa tunakosea ili tupate viongozi bora iwe ndani ya CCM au upinzani.Hakuna mwaka hamjasema ccm iliopita ndo nzuri , kuna kipindi ccm ilishambuliwa kama kipindi cha jk? Mpaka watu wakajiuzulu, Mara hatuna ndege sjui kikwete mpole, mtasema lipi hatulijui kwenu?
Unadhan hatujui mlivowafukuza wabunge kipindi cha corona
Wengine hatuna vyama, siyo kila mmoja akikosea utawala uliopo ni chadema au chama kingine cha upinzani. Huwa tunakosea ili tupate viongozi bora iwe ndani ya CCM au upinzani.
Ndio mkubali kukosolewa na ikibidi mtolewe madarakani ili muweze kuwa na fikra mpya.ni vizuri kukosolewa! hata sisi tuna mapungufu yetu
Ndio mkubali kukosolewa na ikibidi mtolewe madarakani ili muweze kuwa na fikra mpya.
Wengine hatuna vyama, siyo kila mmoja akikosea utawala uliopo ni chadema au chama kingine cha upinzani. Huwa tunakosea ili tupate viongozi bora iwe ndani ya CCM au upinzani.