Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
Mwaka 2022 umeisha, tulitegemea utoa Salam za Mwaka Mpya kwa wapenzi na mashabiki wako. Ila umekuwa kimya kama haupo kwenye sayari yetu. Nakuombea kwa Mungu upate nauli urudi Tanzania ushikamane na Mama Yetu kujenga Nchi. Mwenyekiti wako ameshaona siasa za harakati ni kupoteza muda kawaachia ma teenager Heche na JJ na yule Dogo wa Mwanza Pambalu.