Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
Yuko kwenye Maridhiano subiri kwanzaMwaka 2022 umeisha, tulitegemea utoa Salam za Mwaka Mpya kwa wapenzi na mashabiki wako. Ila umekuwa kimya kama haupo kwenye sayari yetu. Nakuombea kwa Mungu upate nauli urudi Tanzania ushikamane na Mama Yetu kujenga Nchi. Mwenyekiti wako ameshaona siasa za harakati ni kupoteza muda kawaachia ma teenager Heche na JJ na yule Dogo wa Mwanza Pambalu.
Kama kwako maana ya neno kujenga ni mpaka kitu kiwe kimebomoka rudi chekechea.!Kujenga nchi kwani imebomoka?
Yalikuomba uyahangaikie au unsjipendekeza kuhangaikia familia yako kwa mgongo wa Tanzania?Kuyahangaikia haya matanzania yahitaji moyo Sana. Asilimiaa kubwa hayajielewi wala kujitambua.
Mengi yao ni manafiki, mazandiki, machawa, madangaji na hayana akili kabisa
Yesu arudi kufanya nini na mligongelea misumariUsirudi hata Dr Ulimboka amekaa kimya , kutetea wafu siyo kazi rahisi.Acha mpaka Yesu akirudi labda akili zitarudi vichwani mwetu.
lissu hana mda wa kuhangaikia mapumbavu ya tanzania yasiyojielewaLissu aache bata la ulaya arudi uswekeni [emoji16]
lissu hana muda wa kuhangaikia mapumbavu yakiambiwa yaandamane kupinga dhuruma ya wiz wa kura hayajitokezi shit kabisaYalikuomba uyahangaikie au unsjipendekeza kuhangaikia familia yako kwa mgongo wa Tanzania?
Kwa Nini yeye asiwe wa kwanza kuandamana na awe front?lissu hana muda wa kuhangaikia mapumbavu yakiambiwa yaandamane kupinga dhuruma ya wiz wa kura hayajitokezi shit kabisa
Hahaha! Sawa mkuu umeshinda!Yalikuomba uyahangaikie au unsjipendekeza kuhangaikia familia yako kwa mgongo wa Tanzania?
Kwa Nini yeye asiwe wa kwanza kuandamana na awe front?
ni katika muktadha huo huo hata hotuba mnazozitaka toweni nyie na muwe frontline wa hizo hotuba.Kwa Nini yeye asiwe wa kwanza kuandamana na awe front?