Tundu Antipas Lissu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA kulikoni?

Labda katoa kwa walioko huko aliko
 
Kwani kocha huwa anaingia uwanjani kucheza? Kama vipi Magufuli angekaa mbele kumzuia Lisu. mbona hata yeye hakuthubutu kukaa mbele tuone ushujaa wake wa kuwazuia CDM?
Tafuteni wapumbavu ndio mkawaweke mbele Ila watoto wa Lisu wote Ni raia wa Marekani..

Hii itakuwa propaganda nzuri Sana ya kuwamaliza.
 
Huyu mwehu hana jipya. Yuko anasota Ulaya.
 
Kwamba watu wataandamana ili watoto wa Lisu wasiwe wamarekani au? Kama ni propaganda unatengeneza jaribu kuiweka vizuri boss.
Hakuna wa kuandamana kwa ajili ya Lisu,that is the point akitaka waandamane awalete watoto wake wawe front.
 
Nani anaandamana kwaajili ya Lissu?. Ndio nyie akina diamond mnajifanya shida za wananchi haziwahusu ila mkipata matatizo mnaanza kulia na kuilaumu CHADEMA.
Hizo shida hazijawa worse kwa kiwango hicho Hadi kuamsha hasira ya Jamii nzima.

Ikifikia huko watu wataandamana wenyewe bila msukumo wa wanasiasa wanaotaka kutumia hiyo fursa kupata vyeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…