Basi Mbowe ni mfanyabisahara mkubwa Sana. Maana mlisema aliiuza CHADEMA bilioni 8 sasa sijui bei ya Lissu ilikuwa shilingi ngapi. Halafu hujanijibu, Lissu aliuzwa kwa Nani? Nataka nimjue mnunuaji.
Umenena ukweli. Nadhani bado uchungu haujafika muda wake wa kwenda labour. Siku uchungu ukifika muda wa labour hakuna mwanachi atajificha. Mimi nasubiria ule muda wa kuvamia ikulu nikaogelee kwenye swimming pool ya ikulu. I hope it will be this year.