BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Mhe. Lissu: Mimi nashitakiwa kwa kuweka hiyo video huko Jambo Tv basi na mimi nitumie fursa kusema Mwenyezi MUNGU akurehemu na kukubariki sana maana kama mtaalamu umesema mimi sijaweka huko hiyo video nani mwingine atakuja kusema mimi niliweka hiyo video. Ahsante sana.
Aisee huyu jamaa sheria anaijua! Sasa hao mashahidi waliobaki watakuja kusema nini, kama siyo kupoteza tu muda!Mhe. Lissu: Mimi nashitakiwa kwa kuweka hiyo video huko Jambo Tv basi na mimi nitumie fursa kusema Mwenyezi MUNGU akurehemu na kukubariki sana maana kama mtaalamu umesema mimi sijaweka huko hiyo video nani mwingine atakuja kusema mimi niliweka hiyo video. Ahsante sana.😂😂😂😂😂
Waache wazidi kuumbukaAisee huyu jamaa sheria anaijua! Sasa hao mashahidi waliobaki watakuja kusema nini, kama siyo kupoteza tu muda!
Vielelezo muhimu vimeondolewa! Mtaalam anasema hajui aliyeweka hiyo video youtube! Shahidi anaulizwa mambo ya kawaida kabisa, anajifanya hajui! Ni kama amelazimishwa tu kuja kutoa ushahidi!
Katika hili tukibali tu serikali inajidhalilisha sana.
Mkuu mbona baada ya kula hujatupia?!Waache wazidi kuumbuka
Hatari sana sheria imelala hapo, hate him or love him he is goodAisee huyu jamaa sheria anaijua! Sasa hao mashahidi waliobaki watakuja kusema nini, kama siyo kupoteza tu muda!
Vielelezo muhimu vimeondolewa! Mtaalam anasema hajui aliyeweka hiyo video youtube! Shahidi anaulizwa mambo ya kawaida kabisa, anajifanya hajui! Ni kama amelazimishwa tu kuja kutoa ushahidi!
Katika hili tukibali tu serikali inajidhalilisha sana.
Seen!Check tayari mkuu
Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali!Hatari sana sheria imelala hapo, hate him or love him he is good
Kuisha kwa hii kesi kutakuwa imemjengea sura mpya kabisa Tundu Lissu.