Tupo pamoja mkuu
tupia vitu hii kesi inaisha leo hii hii!
Nashukuru sana ndugu yangu kwa upendo na kujali .. Kesi ilisimama hivyo leo ndio inaendeleaNdugu yangu na mzee wangu Mshana Jr nataka kujua hari yako kama u bukheri na umepona kwenye yale mauaji, na pia nataka kujua baada ya kutajwa tarehe ya kuendelea na kesi vipi mbona mpaka sasa kupo kimya?
Samia anaroho mbaya kama ufupi wakeANAANDIKA WAKILI GASTON GALUBINDI
UPDATE KUTOKA UKONGA GEREZANI DAY 252:
Leo nimemtembelea Mteja wangu Mhe Lissu, Ukonga Gerezani kujadiliana naye hatima ya kesi zinazomkabili, ashukuliwe Mungu kwa kuendelea kumjalia afya na siha njema kiongozi.
Gerezani kuna utaratibu mpya umeanzishwa ambao ni kinyume cha sheria, Nilichokutana nacho leo ni kama ifuatavyo;
Mosi, Nimeshindwa kutekeleza majukumu yangu kama wakili kutokana na Magereza kulazimisha mazungumzo yangu kama wakili na Mteja wangu Tundu Lissu yafanyike mbele ya Maafisa wa Magereza Ukonga wakisikiliza kinyume na Katiba ya nchi, Kinyume na sheria ya Magereza, Kinyume kanuni za Kimataifa, hivyo nimekataa kuzungumza na mteja zaidi ili tutafute kwanza haki ya usiri wa mazungumzo kati ya mawakili na mteja wetu.
Kwenye hili, Magereza wanafahamu misingi ya kazi, kitendo mnachofanya mnafahamu ni kinyume cha ibara ya 13 ya Katiba, Ni kinyume cha sheria za nchi kuhusu haki za wafungwa na Mahabusu, lakini mnafanya kwa makusudi. Ni lazima kuchukua hatua dhidi yenu.
Pili, Mheshimiwa Lissu aliandika barua kwa Naibu msajili wa Mahakama kuu, tarehe 5 December 2025 akitaka kufahamishwa tarehe rasmi ya session ya kesi ya uhaini inayomkabili pamoja na mwenendo wa kesi hadi ilipoishia. (Taarifa ya Mhe Lissu kuandika barua ilitolewa pia kwa umma) sasa Pamoja na kwamba aliandika barua tarehe 5, cha ajabu ni kwamba barua hizo zinaonekana zilifika Mahakamani tarehe 15 December 2025, yaani juzi Jumatatu.
Kwa mnaofahamu Jiografia ya Jiji la Dar Es Salaam kutoka ukonga hadi Mahakama kuu pale posta , imewachukua Magereza siku 10 kufikisha hiyo barua.
Itakumbukwa session ilipoahirishwa ilipaswa kuanzia November 3 na kukoma tarehe 11 November 2025, lakini hakuletwa Mahakamani hadi siku ya tarehe 11 na tangu siku hiyo hakuna tarehe rasmi iliyopangwa.
Ni muhimu pia kukumbuka kwamba, utaratibu wa session ni tofauti na utaratibu wa kawaida wa kusikiliza mashauri ya kawaida. Leo session haijulikani itaanza lini, Lissu anaendelea kushikiliwa kwa siku 252 sasa na hakuna kesi inayoendelea.
Tatu, Kuhusiana na Maombi yake ya kuomba kuunganishwa kwenye kesi ya Mali za Chama. Mhe Lissu ameandika barua rasmi kwenda Mahakama kuu, kuifahamisha Mahakama kwamba atajiwakilisha yeye mwenyewe kwenye Maombi namba 28922/2025 , Tundu Antiohas Lissu dhidi ya Said Issa Mohamed & wenzake.
Katika barua hiyo, pamoja na taarifa hiyo ya kujiwakilisha, Mhe Lissu pia ameitarifu Mahakama iwe inampatia nyaraka na taarifa zote kuhusiana na shauri hilo yeye binafsi kupitia Mkuu wa Gereza Ukonga.
#she_is_not_my_president #tanzaniamassacre
#SAMIAMUUAJI
#SAMIAMUSTGO
HUYU HAPA
View attachment 3517073
the puppet with his mercenary,ANAANDIKA WAKILI GASTON GALUBINDI