technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kapuku wee !!Uzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
Mungu azidi kutulindia huku mtuKwa Niaba ya Watanzania wote Naomba radhi kwa kuchelewa kwetu kuleta uzi huu Jukwaani.
Shukrani sana kwako Mkuu kwa kukumbuka
View attachment 3381774
Kenge wewe. Unawaamrisha mods unawalipa wewe?Uzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
Huyu ndie Mussa wetu tuliekua tukimngojea Tanganyika tokea Mwalimu aondoke💥‼️UJUMBE KUTOKA TUNDU LISSU‼️🔥
@TunduALissu ni kiboko yao madhulmat! Walijua wamemfunga mdomo na watamnyanysa ila alitumia fursa mahakamani na wanasheria wake na alipaza sauti kuhusu uminywaji wa haki zake gerezani sasa madhulmat wamepiga U-Turn 🤣 Yamewashuka shuu!
1. Sasa anaweza kukutana na mawakili faragha ana kwa ana japo katika maofisi yao.
2. Anafanya mazoezi katika uwanja mkubwa wa mpira.
3. Anapata huduma za kiroho. Juzi padre George Mathias Syai alimtembelea japo room kwake lakini amepata huduma ya kiroho.
Na bado mapambano ndo kwanza yameanza! 🔥
Dawa ya madhulmat ni kudai haki 👊🏽 piga tu
Na anasema:
"I demanded it, I got it"
"You don't demand it, you don't get it"
Long live TAL
Simba wa nyikani 🦁
#NoReformsNoElectionView attachment 3381744
Mwamba wa ukweliWana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu.
Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika
Ana historia yake maalum .. Ana mengi mazuri ya kiwango kaifanyia Tanganyika.. TUMUENZI SASA. NI WAKATI WAKEView attachment 3381742
Kizee kinagombea tena na tena mugabe promax
Yes itapendeza Sana ikikaa hivyoHapo juu naomba uweke historia yake toka anazaliwa mpaka anaanza harakati za kutetea watu
Ingependeza Sana
Nakumbuka ile yupo JKT alivyowaogopesha na kuwatisha kwa kule kujiamini kwake!!
Lissu ni hazina kwa Taifa;!!
Mkuu we ulizaliwa au ulitapikwa?Uzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
Eti anataka U-Rais, Rais gani ananyoa pankiWana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu.
Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika
Ana historia yake maalum .. Ana mengi mazuri ya kiwango kaifanyia Tanganyika.. TUMUENZI SASA. NI WAKATI WAKEView attachment 3381742