Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Spirit aliyonayo Lissu inanikumbusha James Orengo aliyesimama enzi za Moi kuwapatia wakenya second liberation .

Hata juzi baada ya ODM kugawanyika kuwa timu madalali wakiongozwa na Oburu Odinga , James Orengo amekataa na kuendelea kusimama imara na timu ya wazalendo wa ODM waliokataa udalali akiwa kama vijana kama Edwin Sifuna na Babu Owino.

Na hawa wote pia wana sifa moja kitaaluma kama Lissu nao ni wanasheria.

Historia itawaandika mashujaa wote walioamua kusimama na wananchi na sio kutanguliza matumbo yao kwa tamaa za madaraka.
 
Aisee
 
Man .mwamba
 
‼️AFYA YA TUNDU LISSU YAZOROTA 🚨
Tuache utani! Lissu anahitaji kwa sasa awe ameshapatiwa matibabu ya kitaalam tukizingatia historia yake! Wanachofanya @judiciarytz ni kumwacha ateseke bila sababu! Na hii serikali ya wauaji wanatarajia adhoofike na hata kufia jela! Mnawaona hawa ni binadamu ?!
Hivi wanaelewa Lissu ni moja ya sababu bado watanzania wana matumaini na wamekaa wanasubiri atoke ndiyo maana kuna ukimya fulani?! Mwambie huyu Bi Msumi wenu asicheze na moto!
Watanzania tuelewe tukimpoteza Lissu tutakaa muda mrefu kupata mzalendo mwingine kama huyu! Na msitarajie Bi Msumi kuwa na busara - ye anawaza damu tu!
Tusipopambana hakuna wa kuja kutukomboa! We need to act NOW!
#FreeTunduLissu NOW
🚨‼️TUNDU LISSU FILES APPLICATION WITH CERTIFICATE OF URGENCY‼️

Tundu Lissu has filed an application before the Court of Appeal seeking an expedited hearing of his treason case, citing his rapidly deteriorating health. This development underscores the urgency and gravity of his situation. Clearly Samia Suluhu wants Lissu to wither and hopes he dies in illegal detention before he sees justice! This is not an exaggeration! We need immediate action
@commonwealth_sec @worldbankgroup @the_imf

#MO29
#tanzaniamassacre
#NoJusticeNoPeace

HUYU HAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…