Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Uchumi wa Tanzania unakuwa kuliko marekani na ulaya.maana ni muongo muongo sana, na saa zingine ni kaidi kweli
naomba kuelewa mkuu,hivi aliyeandaa Ile mikataba ya accacia na govern alikuwa mtaalam nani vile? please naomba kuelewa mkuu!Tundu Lissu alisaliti taifa na kuwasaidia Acacia, ataishi kwa mateso hivyo hivyo hapa duniani
Mpango bendera shusha nusu mlingooooooooti..Samia ameshajifia kifo cha kisiasa.Wana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu.
Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika
Ana historia yake maalum .. Ana mengi mazuri ya kiwango kaifanyia Tanganyika.. TUMUENZI SASA. NI WAKATI WAKEView attachment 3381742
Dume zima unajiita mama Kenge kabisa.Uzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
Zegreaty said:Huyu ndie Mussa wetu tuliekua tukimngojea Tanganyika tokea Mwalimu aondoke
Huu uzi ni wa hovyo sana sana kwa;Uzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
Nenda kuzimu pepoUzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
tuliza MKND wewe chawa,....no reform no election ❗🚮Uzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
Kiduku wa Korea ni mme wako sio.Eti anataka U-Rais, Rais gani ananyoa panki
Tundu Lissu (jina la kuzaliwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu; alizaliwa mkoani Singida, 20 Januari 1968) ni mwanasiasa, wakili, na mbunge wa zamani wa Tanzania ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti [1] wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania. Anajulikana kwa msimamo wake wa wazi dhidi ya rushwa, ukiukwaji wa haki za binadamu, na matumizi mabaya ya madaraka. Lissu aliwahi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki kupitia chama cha upinzani cha Chadema na pia alikuwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho. Ametambulika kwa ukosoaji wake mkali dhidi ya serikali, hali iliyomfanya kuwa mmoja wa wanasiasa mashuhuri na wenye ushawishi mkubwa katika siasa za upinzani nchini.
Tundu Lissu (jina la kuzaliwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu; alizaliwa mkoani Singida, 20 Januari 1968) ni mwanasiasa, wakili, na mbunge wa zamani wa Tanzania ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti [1] wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania. Anajulikana kwa msimamo wake wa wazi dhidi ya rushwa, ukiukwaji wa haki za binadamu, na matumizi mabaya ya madaraka. Lissu aliwahi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki kupitia chama cha upinzani cha Chadema na pia alikuwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho. Ametambulika kwa ukosoaji wake mkali dhidi ya serikali, hali iliyomfanya kuwa mmoja wa wanasiasa mashuhuri na wenye ushawishi mkubwa katika siasa za upinzani nchini.[2]Hapo juu naomba uweke historia yake toka anazaliwa mpaka anaanza harakati za kutetea watu
Ingependeza Sana
Nakumbuka ile yupo JKT alivyowaogopesha na kuwatisha kwa kule kujiamini kwake!!
Lissu ni hazina kwa Taifa;!!
Endelea kubaki huko huko kwa mpalange ukalie za wanaumeEti anataka U-Rais, Rais gani ananyoa panki