Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Tunamtakia kila la heri
 
Laana ya milele imwendee kila anaeshiriki kumnyanyasa Lissu,,uzao wake ukashuhudie mateso.

Lissu (nabii) alishasema " Njia tunayoiendea imejaa miiba waoga hawataiweza" akamaliza kwa kusema "Tutapitishwa kwenye bonde la uvuli wa mauti".

Lissu akifungua kinywa chake waovu hutetemeka na kukosa amani moyoni.
Njia pekee ya kudhibiti maneno yake makali kama mshale ni aidha kumuua au kumfunga maana wengi hawawezi kuingia nae kwenye mijadala inayohitaji kutumia akili lazima akugalagaze ,ana maarifa yasiyomithirika na anajua kuyawasilisha.

Anaujua ulimwengu ni ngumu kumpambanisha na wanasiasa wa bei Chee wanaotafuta nafasi kushibisha matumbo yao.

Katika Taifa hili kwa wakati huu hakuna mwanasiasa Kariba ya Lissu,, huwezi kumuweka mizani ya wanasiasa Malaya malaya!! Ndiyo maana wasaka tonge wote wamekimbia Chama kwenda kutafuta siasa nyepesi za kushibisha matumbo.

Lissu ni mtu wa principles asiye compromise.

Huko gerezani mtunzeni tu huku mkijua hana hatia siku yaja mtalaumiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…