Lisu yupo mbele ya mudaNdio maana baada ya kuwasanua wanachi pale bungeni kuhusu makinikia ile Sept 2017, mwendazake akaamua atumie π« to π ili amalize mchezo.
Jah akamponyesha mwamba huyu.
Huyu wa sasa alidhani Lissu ni km mbowe akipewa kipande cha mkate na siagi atalainikia, kakutana na mwamba himself, afu yuko kwenye uwanja wake, anatamba tu.
Na ndio maana alitaka final submissions iwe kwa mdomo, ili umma wote ujue, kuliko kwa maandishi maana tungefichwa mengi mno.
Safi baba wa sheria, mwamba aliyepita Ilboru, na Galanos. Anawakilisha taifa hapa.
Mwaga π₯π₯ km unamkubali Lissu.
Halafu kwa nondo kama hizi anakuja Katuga bila aibu anaanza kuongea matapishiTuko live hapaa hadi kieleweke.
Mlizoea wakati wa yule Dalali kufanya upuuzi wenu wazi wazi, mmekutana na mtu mwenye msimamo kawashangaza eeh? Hamkutarajia?Siwezi kufanana akili na wewe
Mimi naamini Lissu ndio chanzo kutokea Mo29
Kama Mwenyekiti angebaki Mzee mbowe kwenye ule Uchaguzi ndani Chadema
Kwa %100
Mo29 isingekuwapo
Manake Vifo 500+
visingekuwepo
Huwezi kubadilisha
ukweli huoβοΈ
Mnoo, JK aliwahi sema ni heri ukawa na wabunge 100 wa upinzani bungeni kuliko Lissu m1. Anaelewa mziki wa huyu mwamba.Lisu yupo mbele ya muda
Aliona vyema, huyu mwamba sioMnoo, JK aliwahi sema ni heri ukawa na wabunge 100 wa upinzani bungeni kuliko Lissu m1. Anaelewa mziki wa huyu mwamba.
Kwanza huyo bichwa cabbage asijaribu kuongea upuuzi nasemaje ataona waja wabaya, yeye km amehaidiwa ujaji awaambie wahusika wampe tu ila sio kuchezea hatma na maisha ya mtu muhimu kwa taifa hili.Halafu kwa nondo kama hizi anakuja Katuga bila aibu anaanza kuongea matapishi
https://www.facebook.com/TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI
SEHEMU YA 18.
Waheshimiwa Majaji, jana nilisema kwamba vyovyote mtakavyoamua, mtakuwa mmeweka historia.
Moja ya eneo la kusaidia ni kutoa mwongozo for the future.
Mimi nimesema yote yana maana moja.
Information inasema kwamba βthe accused person manifested his intention by deed, altering...β
Wanafikiri wamezungumza altering ya maneno, lakini wameharibu kabisa hati yao ya mashtaka.
Unapotumia neno altering, ujue unatumia neno la kisheria, siyo la mtaani.
Kifungu cha 5, Waheshimiwa Majaji, alter includes or deals with...
Ukitaka kujua kinachozungumziwa, nenda katika sheria yenyewe.
Ni matendo yanayohusiana na forgery, counterfeit.
Ngoja niwatafutie vifungu vyenyewe, Waheshimiwa Majaji.
Kifungu cha 342 cha sheria: βAltering false documents.β
Kifungu cha 343: βAltering fake documents.β
Kifungu cha 362: βAltering metal into coins.β
Walitaka kutumia neno altering la kwenye sheria ya vyombo vya habari kwenye Kanuni ya Adhabu.
Inawezekanaje?
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Ni shida huyu baba, Magu akaona amuwahishe akhera madukani, Jah kagoma kumpokea. Karudi duniani. Anasongesha gurudumu kama kawa.Aliona vyema, huyu mwamba sio
Mungu aliona bado ana kazi hajamaliza, na kazi yenyewe imeonekanaNi shida huyu baba, Magu akaona amuwahishe akhera madukani, Jah kagoma kumpokea. Karudi duniani. Anasongesha gurudumu kama kawa.
Huyu yupo kwa mpango maalumu ktk nchi hii.
Nadhani wana hukumu yao mfukoni ila tangu mwanzo hadi pale Lissu alipoambiwa ana kesi ya kujibu, kesi ilikuwa imeisha kipindi kile.Hii kesi ya Lissu naona Kama wanajidhalilisha tuh hao waliompa kesi maana hizi Nondo anazotoa Lissu daah sio mchezo yaani watu wanavuliwa nguo waziwazi kweli watu hawana aibu
Mpaka hapa wataipitishia wapi, kila mahali misumari imepigiliwaNadhani wana hukumu yao mfukoni ila tangu mwanzo hadi pale Lissu alipoambiwa ana kesi ya kujibu, kesi ilikuwa imeisha kipindi kile.