Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Mchengerwa bila kuwa mkwe, hakufaa hata kuwa balozi wa mtaa.
Sijui nchi hii watu wanapatikanaje kuwa viongozi.
 

Mzee mbowe kawatunza Vijana ndani Chadema kwa miaka 20
Kaja uyo Jisu ndani ya miez 6 tu mtaji wote kaupeleka kukinukisha na kuzuiya Uchaguzi 🫎🫎

Wamefekwa mzee mbowe analia kila siku kupoteza vijana
wake😭😭

Mwamba hawezi kuwa Lissu mwenye kuficha Watoto wake ili hawatumie wa wenzie 😭😭😭😭😭

Tena mnamwita Mwamba na ni muoga kupoteza Watoto wake
Uyo ni Udongo tu mbele ya
Wapigania Haki 😂😂😂😂
 
😂😂😂 em huko nawee.
Mkuu nitakupa Hela please hebu achana na mambo ya Lissu mwamba atatoka tu sisi tudeal na jambo letu ni muhimu sana alafu nikupe Siri sasa wiki iliyopita nimeuza mpunga Nina Hela🥹🥹
 
Mkuu nitakupa Hela please hebu achana na mambo ya Lissu mwamba atatoka tu sisi tudeal na jambo letu ni muhimu sana alafu nikupe Siri sasa wiki iliyopita nimeuza mpunga Nina Hela🥹🥹

Wewe Ndondocha uyo Kidume km ww ❗️shauri yko
Weka Ushamba wa kisukuma ukaja kutafunwa wewe🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…