Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Pia kwa utumishi wake katika jamii ni wazi kama zingelikuwepo kashfa zinazohusiana na maisha yake basi zingelikuwa zimewekwa wazi, labda kwa kupitia uzi huu atokee mtu wa kutuwekea wazi ujinga aliowai kushiriki kama kweli upo.
Kwa maana hiyo atakayejitia kuzima nyota yake anatakiwa awe makini maana anaweza kuzimika yeye.🔨📌💪🏿🙏🏿
 
Liji Tundu Lissu
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…