Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Mwamba kweli kweli
 
Hajawahi kutokea mgombea mtarajiwa wa upinzani kuwekwa rumande karibia ya uchaguzi na imetokea kwa lissu tu, huyu ni kiboko ya CCM wote
Saelf akisikia jina la lissu anaenda chooni kuhara, anatetemeka huku lucas na wenzake wakibubujikwa namachozi
 
Natabiri huu uzi kuwa na maisha marefu sana, huu uzi unatembea kwa sababu unamhusu mkombozi wa kweli wa yanganyika,the last standing man

Tupo hapa mpaka unabii utakapotimia
 
Natabiri huu uzi kuwa na maisha marefu sana, huu uzi unatembea kwa sababu unamhusu mkombozi wa kweli wa yanganyika,the last standing man

Tupo hapa mpaka unabii utakapotimia
Tupo hapa mpaka unabii utakapotimiaโœŒ๐Ÿฟ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จโ—
 
Tupo hapa mpaka unabii utakapotimiaโœŒ๐Ÿฟ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จโ—
Mwezi wa saba huoo,tunasubiri,Mungu na atende kama walivyonena watumishi wake, hakuna neno litokalo kinywani litapotea bure
NRNE
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ