Uchaguzi 2020 Tundu Antiphas Lissu ni yule yule wa juzi, wa jana na wa leo na katu hajabadilika na hatabadilika

Man of men
 
Lissu The Game changer
Baada ya miaka 60, Mh. Tundu Antiphas Lissu atatufungulia minyororo iliyotunyima uhuru, haki na usawa. Giza kwaheri, mwanga karibu!
 
Reactions: BAK
Ni yeye kabisa hapana mwingine wa kutuvusha, nasikia kule kijani wameanda tamasha la muziki. Hatuhitaji kupozwa na nyimbo tunataka majibu ya kwa nini walituteka na kina nani walihusika
 


 
Lissu anatosha
Ndugu zangu Watanzania, mwaka 2015 tulifanya makosa lakini kama wasemavyo wahenga, kosa si kosa bali kurudia kosa. Tukichagua tena hovyo, tusilalamike hovyo tutakapoanza kutendewa hovyo. Mwaka huu uwe mwaka wa kupiga moyo konde na kusema imetosha, hatukubali na hatutaruhusu...silaha yetu ni kura zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…