tundu la dushelele linawasha

tundu la dushelele linawasha

saxogade

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
18
Reaction score
6
jamani msaada wenu, kama unataka kuni-tusi au hutoi msaada naomba upite tu. nahitaji msaada jamani wiki moja iliyopita nilirudi home nikiwa matingasi house-girl alipofungua mlango alikuwa na nguo laini iliyosababisha nione kila kitu nilipomshika mkono hakubisha nika-mchapa nao fasta, haikunisumbua kwani sijaoa bado, sasa tundu la dushelele linawasha najua inaweza ikawa nimekwaa gonjwa la zinaa, kabla sijaenda kwa tabibu nilipenda nijuie ni ugonjwa gani kwa mwenye uelewa
nashukuru jamani na mguu wangu huu kesho ni kwa-tabibu
 
hebu niwekee picha Dr nione......inaweza kuwa ni bacterium neisseria..........sio mbaya sana.......usijali.....haina haja ya kwenda hospital........

Dr Preta........
 
U.T.I hiyo, haya wahi kwa doctor! Nakupongeza kwa kushika amri ya mungu ya kuijaza dunia kwa kutotumia Kondom, ila umevunja amri nyingine kwa kuzini!
 
Mkuu, kama linawasha tu siyo tatizo, ila kesho uende hospitali na maelezo haya haya uliyoandika hapa.
 
jamani msaada wenu, kama unataka kuni-tusi au hutoi msaada naomba upite tu. nahitaji msaada jamani wiki moja iliyopita nilirudi home nikiwa matingasi house-girl alipofungua mlango alikuwa na nguo laini iliyosababisha nione kila kitu nilipomshika mkono hakubisha nika-mchapa nao fasta, haikunisumbua kwani sijaoa bado, sasa tundu la dushelele linawasha najua inaweza ikawa nimekwaa gonjwa la zinaa, kabla sijaenda kwa tabibu nilipenda nijuie ni ugonjwa gani kwa mwenye uelewa
nashukuru jamani na mguu wangu huu kesho ni kwa-tabibu

Pole sana Mkuu! Ndo madhara ya pombe + Ngono zembe, ila nafsi yangu inakubaliana kabisa na andiko flan katika kile kitabu kitakatifu linalosema " Maisha yafaa nini bila pombe?"

Back to the topic, naomba unijibu maswali yafuatayo
1. Muda gani umepita tangu umchape nao mpaka uone hizo dalili za mwasho
2. Je kuna utoko (Discharge) katika hilo tundu la dushelele?
3. Na kama jibu ni ndio- eleza rangi, na harufu ya huo utok
4. Unapokojoa unapata maumivu?
5. Vipi dushelele lenyewe (Kichwa au mtaimbo ) lina mchubuko?

Jibu kwanza haya, nikupe tips za tatizo ambalo huenda unaweza ukawa nalo
 
hebu niwekee picha Dr nione......inaweza kuwa ni bacterium neisseria..........sio mbaya sana.......usijali.....haina haja ya kwenda hospital........

Dr Preta........

Hahahahahah! Dr Preta a.k.a mama Pratricia,

Unataka picha tena? Hapana waifu, picha nyingine zinaharibu ubongo, kweli umedhamiria uangalie picha ya Dushelele?

Hapo nilipokuwekea italics kwa andiko lako mmmmh!
 
Last edited by a moderator:
Gonorrhea hiyo kwa jina jingine kisonono, nenda fasta hospital katika matibabu mkumbuke na huyo mwenzako mliyopeana naye...
 
Very sorry for that!i believe you will be taking initiative toward getting your legal wedded partner for the avoidance of prospective occupancy of same incidence ,kindly vist medical practitioner.
 
Back
Top Bottom