Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aache kuzungumzia masuala ya kupigwa risasi kila Mkutano

Kuna watu bado Wana takiwa wajuwe CCM ndio ili mpiga risasi wa jinga Sana ninyi
 
Mshana umeongea kama mnazi wa chadema. Ukweli kuongea ongea kuhusu risasi haimsaidii sana katika kutafuta kura za kuelekea Ikulu sana sana inazidi kumuathiri kisaijolojia. Akipewa ridhaa ya kuwa rais na wapiga kura Well and good, lakini akiukosa uraisi katika mazingira ambayo alitegemea huruma za kujeruhiwa kwa risasi TL atakuwa katika hali mbaya zaidi kwa feelings za kuwa rejected by his own community. Lazima abadili strategy hili suala la risasi aachane nalo atalizungumza akiwa ikulu, akibahatika kushinda uchaguzi
 
Bro, jiheshimu.
Usijaribu kuvaa viatu visivyokutosha.
Lissu ana familia pia, ana mke, watoto na ndugu na marafiki. Kama haijakugusa just shut the f**k up.
Sio lazima uongee kuhusu kitu ambacho hakijawahi kukutokea wala hujawahi kupata theluthi ya matatizo yaliyomkuta. Ana haki ya kuzungumza kadiri awezavyo na popote atakapo. So stop whining like a little b**ch.
 
mlijua mmeua, sasa chuma kiko hewani mnaanza kusumbuliwa na laana. Mlizoea kuteka watu halafu mkiwaachia wananyamaza. isingekuwa siku zote
 
Kwa Takriban miaka mitano sasa ya utawala huu wa Awamu ya Tano.Tumeshuhudia uminyaji mkubwa wa Demokrasia, Uhuru wa Watu, uhuru wa Vyombo vya Habari,Uhuru wa kutoa maoni nk.

1Utekaji.
2.kupotezwa kwa watu
 
points sana ume andika mtoa mada, inahitaji ushujaa kusahau iyo kitu, but akiweza itamfanya kuwa bora sana.
 
Lilimpata jambo baya sana.Na nimuujiza was Mungu tu kuwa hai.Munaosema asiongee inatiashaka labda in sehemu ya waliotenda jambo hilo la kinyama.Mnaona shida gani
 
Haaa,kwani Lissu akiongelea kupigwa risasi Kuna mgombea anayeshindana naye anateseka? Mtakoma pumbav
 
Kwani hakupigwa kweli?
Linakuumiza nini akisema uhalisia wa kilichotokea?
Unakerwa na nini?
Au uu mmojawapo wa 'wasiojulikana'?
 
Umetumwa na mtu wa tocha wewe.. najua inawaukiza sana.
 
Mleta mada unaongea kipuuzi hivyo kwa sababu sio kaka yako wala mdogo wako aliyeshambuliwa.

Tundu Lissu ana haki ya kuongolea yaliyo mkuta hata muda wote akipenda na wanaoumia ni wale waliomtendea hayo pamoja na vikaragosi vyao, sisi tunamuhimiza aongee tu ndio hao waliotaka kumuua waumie sana.
 
Anataka apewe apewe Urais kwakuwa alipigwa risasi ili iwe kama kifuta machozi chake
 
Mkuu kaa ukijua kuwa hata msanii anavoachia Album lazima kuwe na intro kwaiyo sioni Kama lissu anakosea kuanza na intro.... period
 
Hawezi kujishusha amekulia kwenye mfumo dume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…