Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aache kuzungumzia masuala ya kupigwa risasi kila Mkutano

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aache kuzungumzia masuala ya kupigwa risasi kila Mkutano

Mlio wengi akielezea mnadhani anatak aonewe huruma hapana, hata mimi nilidhani asifanye hivyo kumbe miongoni mwao wapo walomchangia lazima awashukuru nakuelezea kitendo cha unyama alichofanyiwa ukizingatia wasiojulikana bado wanadundazi
 
napendekeza TL asiache kuwaeleza wananchi masahibu yaliyompata kila apatapo kajinafasi...nimegundua hili linawauma sana mataga.

huko vijijini ndio iwe lazima, watz hatupendi ukatili tutampa kura za huruma!.
 
Kweli maumivu ya mwenzio ni sherehe kwako. Uchunguzi wa suala hili ulishafeli miaka mitatu iliyopita. Kama kuna mtu anayeumia kwa TAL kusema machungu yake kwenye kila mkutano aendelee tu kuumia. Kwa nini atafute suluhu na CCM? Wao ndiye waliompiga risasi? Unamsamehe unayemfahamu na siyo watu wasiojulikana.
 
Akazungunzie wapi? TBC haionyeshi hivyo watu hawajui. Mwache mbona wengine kila siku ndege, barabara japo kuna mabango "KWA MSAADA WA WATU WA MABEBERU" ila msaada akipewa Lisu anakuwa kibaraka. Mm binafsi Kelele za Kumsifia Jiwe nimezichoka bora huyu Lisu
 
Shambulizi hili ni mfano hai wa kutokuwa na haki na uhuru wa kutenda na kusema katika nchi hii. Kwa hiyo, hawezi kuacha kulisemea tukio hilo wakati ananadi ilani ya uchaguzi ya chama chake inayoongozwa na kauli mbiu ya: "Haki, Uhuru, na Maendeleo ya Watu".
 
Jiweke kwenye nafasi yake uone kama ni rahisi hivyo...kuongea ni tiba bora ya afya ya akili..kuongea huleta nafuu ya fukuto la maumivu makali
Na kwa kufanya hivyo kila mara anapeleka ujumbe muhimu na wa kutisha kwa watesi wake kuwa yuko imara kuliko hata kabla ya shambulio na HAJASAHAU....hajafanya nini!? HAJASAHAU.....!!!!
Haisaidii kitu.
 
Mbona unaongelea upande mmoja.
Wahusika wa mateso ya Lissu wamekutuma uwasemee?
 
Huyo jamaaaa, asipotumia hiyokiki ya alioigiza ili ije impe promo kwenye uchaguzi huuu na kuwalagai chama chake wamuhurimie agombeee yeye eti kisa anamuujiza, inje yahapo kichani kwa masuala ya kujenga hoja ya kisiasa yuko empty kichwaniii.

Sasa yeye kuchakutwa ni kutushuhudia miujiza, lakini pamoja na umahili wa sheria alionao hatujawahi onatukio lake lile analipereka mahakamani atasikumojaa.
Huu ushuhuda lazima autumie kila kona ilikuutengenezea kiki ya kuhurumiwa kupewa uraisiii.
Waliompatia kiki ni wale waliompiga riasi. Walifanya vile bila kuwa na "plan B".
 
Waliompatia kiki ni wale waliompiga riasi. Walifanya vile bila kuwa na "plan B".
Kama anawafahamu, kwa nini hajaenda kuwaripotishaa nahakamani?
Mbona anjibatiza ni mubobezi wa siasa na sheria?
Anakwama wapikuwapeleka mahakamani kama anawafahamu?
Hiii kiki imeshabumaaaaa
 
Aliyehusika na jaribio la mauaji ya Lisu anajijua na anajua la kufanya ili kupunguza ama kuondoa tatizo la kuumizwa kwa dhamiri yake.

Anapaswa kuomba msamaha,kutafuta maridhiano kama alivyoambiwawa na Mbowe,aache kushupaza shingo.

Ninyi wafuatao wake mnapaswa kumwambia mhusika aombe msamaha na amlipe Lisu haki zake zote,mambo yatakuwa shwari

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Kabisa
Yule Mzee bila Kumuomba Lissu Msamaha atakuja kufa Mdomo wazi kwa Ushetani wake
 
Mgombea uraisi kwa tiketi ya Chadem ndg.Tundu A.Lisu anahitaji kuiachilia nafsi yake kwa kusamehe mabaya yaliyomkuta miaka mitatu iliyopita.Kuyaongelea kila mahali ampatapo wa kumsimulia,hasa majukwaa ya kisiasa,kutazidishia machungu kwake na wale wote wanaomhusu.

Unasema hivyo kwakuwa hayajakufika kama yalivyomfika Lissu, ni rahisi kusema kuliko kutenda, pilipili usiyoila huwezijua muasho wake. Juu ya yote waliomtendea Lissu bado "hawajulikani" je tunahakika gani kwamba kesho hawataweza kutenda hivyo kwa mtu mwingine??!!.

Hakika jambo alilofanyiwa ni unyama mkubwa sana kufanyiwa binadamu yeyote, mambo ya kisiasa katika dunia ya kistaarabu ni lazima yashughulikiwe katika njia za kisheria, itakuwa ni ujinga na jambo baya mtu akushambulie kisiasa bila kuhatarisha uhai wako nawe uone njia bora ya kupambana naye ni kumtoa roho, ukifikia hatua hiyo basi wewe unatakiwa uchunguzwe uwezo wako na dhamana yako uliyopewa na jamii.

Lissu anayohaki ya kuelezea kadhia iliyomkuta ili tujifunze na waliotenda wajifunze juu ya ubaya huo ili mambo ya namna hiyo yasitokee tena katika historia ya nchi yetu, mambo tuliyozoea kuyasikia kwa majirani zetu.

Siasa ni vita ya hoja kwa hoja na sera bali sio uadui wa kutoana roho---- Watz hatukuzoea hayo.
 
Sawa kabisa, na hayo mengine kuvuliwa ubunge je, kunyimwa matibabu je, kufukuzwa ubunge je nayo asiongelee? nini nafsi yako inakutuma katika mambo kama haya??
 
Kweli wachekesha

Unapotesa wengine, huwa ni FURAHA kwako,
Ukitaka waogope, ubabe tokea kwako,
Wateseke na walie, machungu yasije kwako,
Wawe kimya wasiseme, kwani ni KARAHA kwako.
 
Usimpangie cha kuzungumza, provided hatukani basi kuna watu wanamsikiliza wewe achana nae
 
Aache kuzungumzia hizo RISASI azungumzie NINI? Hana HOJA yoyote zaidi ya hiyo ambayo, kwa akili yake, anadhani itakuwa mtaji kwa wapiga kura ETI WAMUONEE HURUMA. Anatafuta hoja za HURUMA kutoka kwa wapiga kura. Hamna kitu hapo, hapati kitu! Mwambieni Watanzania wa LEO HAWADANGANYIKI na hasa ukutilia maanani kuwa hilo tendo la Lissu kupigwa risasi ni KAZI YA NDANI MWAO na kila mwenye akili za uchambuzi na utambuzi anajua hilo!
 
Back
Top Bottom