Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Basi awe mpole sindano imwingieHawezi kujishusha amekulia kwenye mfumo dume
Haisaidii kitu.Jiweke kwenye nafasi yake uone kama ni rahisi hivyo...kuongea ni tiba bora ya afya ya akili..kuongea huleta nafuu ya fukuto la maumivu makali
Na kwa kufanya hivyo kila mara anapeleka ujumbe muhimu na wa kutisha kwa watesi wake kuwa yuko imara kuliko hata kabla ya shambulio na HAJASAHAU....hajafanya nini!? HAJASAHAU.....!!!!
Waliompatia kiki ni wale waliompiga riasi. Walifanya vile bila kuwa na "plan B".Huyo jamaaaa, asipotumia hiyokiki ya alioigiza ili ije impe promo kwenye uchaguzi huuu na kuwalagai chama chake wamuhurimie agombeee yeye eti kisa anamuujiza, inje yahapo kichani kwa masuala ya kujenga hoja ya kisiasa yuko empty kichwaniii.
Sasa yeye kuchakutwa ni kutushuhudia miujiza, lakini pamoja na umahili wa sheria alionao hatujawahi onatukio lake lile analipereka mahakamani atasikumojaa.
Huu ushuhuda lazima autumie kila kona ilikuutengenezea kiki ya kuhurumiwa kupewa uraisiii.
Kama anawafahamu, kwa nini hajaenda kuwaripotishaa nahakamani?Waliompatia kiki ni wale waliompiga riasi. Walifanya vile bila kuwa na "plan B".
KabisaAliyehusika na jaribio la mauaji ya Lisu anajijua na anajua la kufanya ili kupunguza ama kuondoa tatizo la kuumizwa kwa dhamiri yake.
Anapaswa kuomba msamaha,kutafuta maridhiano kama alivyoambiwawa na Mbowe,aache kushupaza shingo.
Ninyi wafuatao wake mnapaswa kumwambia mhusika aombe msamaha na amlipe Lisu haki zake zote,mambo yatakuwa shwari
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mgombea uraisi kwa tiketi ya Chadem ndg.Tundu A.Lisu anahitaji kuiachilia nafsi yake kwa kusamehe mabaya yaliyomkuta miaka mitatu iliyopita.Kuyaongelea kila mahali ampatapo wa kumsimulia,hasa majukwaa ya kisiasa,kutazidishia machungu kwake na wale wote wanaomhusu.
Sawa
Wamezoea unafiki ukweli hawaupendiKwahiyo aseme alipigwa makofi?
Kabisa mkuuWamezoea unafiki ukweli hawaupendi