Pre GE2025 Tundu Lissu aanza Ziara ya Kikazi Nchini Uganda, No Reform No Election kusambazwa

Pre GE2025 Tundu Lissu aanza Ziara ya Kikazi Nchini Uganda, No Reform No Election kusambazwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko Nchini Uganda kwa ziara ya Kikazi.

Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa

Screenshot_2025-03-03-15-26-22-1.png


Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
 
Tundu lissu Uganda kafata nini?
Nadhani ni Militant connection approach kutafuta vita vya msituni.Naona anatafuta balaa.
Au ndio mambo ya deal kuwa akisaidiwa kushinda uchanguzi Museveni atapewa kanda ya ziwa,na kweli Museveni anaitaka haswa.
Wanaposema Lissu hana tofauti na Tshombe wa Congo Leopardville naaza kuamini.
 
Why Uganda?! Sio kwamba Tone Tone litakauka?!

Tujikite ndani ya Bongo Country Kijiji kwa Kijiji Mtaa kwa Mtaa mpaka Wananchi watuelewe na NO REFORMS NO ELECTION.

Au Mwenyekiti nae kaanza kusikiliza machawa?

Tukiwasambazia Waganda NO REFORMS NO ELECTION sisi itatusaidia nini?!
 
Back
Top Bottom