Pre GE2025 Tundu Lissu aanza Ziara ya Kikazi Nchini Uganda, No Reform No Election kusambazwa

Pre GE2025 Tundu Lissu aanza Ziara ya Kikazi Nchini Uganda, No Reform No Election kusambazwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ambao hauna faida yeyote, hasa ikizingatia tupo kwenye mwaka wa uchaguzi ambao alitakiwa awe anazurura mikoani huko kuamsha wananchi wapate ufahamu. yeye anaenda uganda, kwa faida ipi na kwa pesa zipi?
Uandishi wako ni kama umelewa au kichwani kumejaa bangi!
Sitapoteza muda kudadavua hayo uliyo andika hapo kukuonyesha kwa nini nimekuandikia haya maneno niliyo andika.
Hilo jina lako pekee linaonyesha kichwani mwako hupo sawasawa.
 
Back
Top Bottom