Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Umeambiwa ni Ziara ya Mkutano wa Demokrasia wewe unaongeza ya kwako?Ahaaaa naona anaenda kuuona mseveni ampe mbinu za kibabe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa ni Ziara ya Mkutano wa Demokrasia wewe unaongeza ya kwako?Ahaaaa naona anaenda kuuona mseveni ampe mbinu za kibabe.
Hakuna inzi wala mende wa CHADEMA anayeweza kuzui uchaguzi. Mark this postHatutasusia uchaguzi Bali tutazuia uchaguzi naomba mnielewe kwa hilo
Kwani mimi nimekataaUmeambiwa ni Ziara ya Mkutano wa Demokrasia wewe unaongeza ya kwako?
Tulia mkuuHakuna inzi wala mende wa CHADEMA anayeweza kuzui uchaguzi. Mark this post
Mkuu Magu si waliwazuia nyie team Pwani? Kwanini ushangae chadema?Hakuna inzi wala mende wa CHADEMA anayeweza kuzui uchaguzi. Mark this post
Yaani tusifanye uchaguzi kwa matakwa ya Tundu?? You are not seriousMkuu Magu si waliwazuia nyie team Pwani? Kwanini ushangae chadema?
Eleweka ndugu!ila chadema iwekeze kwenye designer aisee ni chama kikubwa ila mambo yake hapana
Demokrasia ya Uganda ni kubwa mara 100 kuliko Tanzania, Museveni hakuwahi kupata 99% ya kura, halafu njoo kwenye Bunge la Uganda, ni karibu nusu kwa nusu, huku Spika Wa Uganda haburuzwi kama Tulia AcksonNdiyo zile tone tone zinaanza kufanyakazi?
Mnaandaa mkutano kwenye nchi ambayo inapinga Demokrasia!
Siyo Chadema ni UmmaHakuna inzi wala mende wa CHADEMA anayeweza kuzui uchaguzi. Mark this post
Ugaidi na kutekana ni kwingi kuna uwezekano wanahusika!Mbona mnatetemeka😀😀😀
Mungu ibariki CHADEMAMwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko Nchini Uganda kwa ziara ya Kikazi.
Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3257593
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
AmenMungu ibariki CHADEMA
asiwe mjinga, aangalie na usalama wake. unaenda nchi za ajabu ajabu hizo.Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko Nchini Uganda kwa ziara ya Kikazi.
Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3257593
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Tulimsema mama na safari zakeMwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko Nchini Uganda kwa ziara ya Kikazi.
Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3257593
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
We si una tamaa ya Madaraka?Yaani tusifanye uchaguzi kwa matakwa ya Tundu?? You are not serious
Hajaenda kibwegeasiwe mjinga, aangalie na usalama wake. unaenda nchi za ajabu ajabu hizo.