Pre GE2025 Tundu Lissu aanza Ziara ya Kikazi Nchini Uganda, No Reform No Election kusambazwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundu lissu Uganda kafata nini?
Nadhani ni Militant connection approach kutafuta vita vya msituni.Naona anatafuta balaa.
Au ndio mambo ya deal kuwa akisaidiwa kushinda uchanguzi Museveni atapewa kanda ya ziwa,na kweli Museveni anaitaka haswa.
Wanaposema Lissu hana tofauti na Tshombe wa Congo Leopardville naaza kuamini.
 
Why Uganda?! Sio kwamba Tone Tone litakauka?!

Tujikite ndani ya Bongo Country Kijiji kwa Kijiji Mtaa kwa Mtaa mpaka Wananchi watuelewe na NO REFORMS NO ELECTION.

Au Mwenyekiti nae kaanza kusikiliza machawa?

Tukiwasambazia Waganda NO REFORMS NO ELECTION sisi itatusaidia nini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…