Uchaguzi 2020 Tundu Lissu abadili upepo, aanza kumsifu Rais Magufuli

Tabu kweli kweli.
 
Sikisoma ili nikabebe zege, niliandaliwa kuwa mtumishi.
Inawezekana ni mchaguzi sana wa kazi; kama ulisoma kusudi uwe Mkurugenzi fulani jijini Dar, itakuwia vigumu sana kupata kazi ya kuajiriwa, ila kama uliandaliwa kuwa mtumishi aliye tayari kufanya kazi yoyote atakayopewa basi tafuta kazi utazipta; kazi hazikufuati wewe bali wewe ndiwe unayetakiwa kuzitafuta huko ziliko. Juzi nilikuwa naangalia wanaojenga meli ya MV Ukara, wote ni watanzania na hata kampuni yenyewe ni ya kitanzania. Nilipokuwa nasikiliza ripoti kuhusu maendeleo ya SGR, 80% ya watumisihi wote ni watanzania, kwenye ujenzi wa hilo bwawa la Nyerere mpaka sasa 70% ya wafanyakazi wote ni watanzania. Sina ripoti ya kutosha kuhusu daraja na Tanzanite, lakini unaweza kukuta pia asilimia kubwa ya wafayakazi ni watanzania.
 
Mwalimu alikaa ikulu miaka 29 Magufuli amekaa miaka 5 linganisha kama Mwalimu ndani ya miaka 5 alifanya yaliyofanywa sasa..fikiri kabla ya kuandika kijana.
Nadhani wewe umelelewa na facebook. Kwana Nyerere hakukaa madarakani miaka 29 halafu hata umesikia Magufuli anavyomtukuza sana Nyerere. Hujui kuwa wakati wa Nyerere elimu yote mpaka chuko kikuu, huduma za afya, na maji vilikuwa bure. Halafu kila mkoa ulikuwa na angalau kiwanda fulani, ingawa mkoa wa Morogoro, na Dar ndiyo ilikuwa na viwanda vingi ila karibu kila mkoa ulikuwa na kiwanda. SGR ya kwanza inayoitwa TAZARA ilijengwa na Nyerere. Barabara za kwanza za lami kutoka Dar mpaka Tunduma, na kutoka Moro had Dodoma, Kutoka Chalinze hadi Arusha, na kutoka Mwanza hadi Silali, ni miradi iliyojengwa na Nyerere. Sijui wewe unasema nini hapa.
 
kua ccm inabid uazime akili ya mtoto wa std 5 maana ni ngumu kutumia akili ya kawaida ukiwa ccm
 

Linganisha miaka aliyotawala nyerere na kisha uwaze unalinganishaje na hii 5 ya magufuli kisha urudi na maoni mapya....japo hatuwashindanishi...kila.mmoja kwa.zama.zake
 
Sijui wewe unatoa wapi hizo paundi millioni 75 kwani inaelekea hujui kuwa kabla ya Nyerere hakukuwa na Taifa linalotwa Tanganyika, bali ilikuwa ni koloni la Uingereza. Hakukuwa na hazina ya Tanganyika bali ilikuwa ni hazina ya mfalme.

Halafu unaposema Jamal alikuja kuokoa jahazi kutokea Kanada pia hujui kuwa Jamal alizaliwa Morogoro na kukulia Morogoro na alikuwa na biashara nyingi hapo Dar. Alihamia Kanada baada ya kustaafu siasa ndipo akachukua uraia wa Kanada. Nyerere hakumkuta Edwin Mtei Ikulu bali Nyerere ndiye alimpandisha Edwin Mtei kuwa gavana wa benki kuu baada ya kuanzishwa mwaka 1966, na baadaye akampandisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ye fedha na mwishowe mwaka 1977 akamfanya kuwa Waziri wa fedha.

Hata Kasela Bantu hujui kuwa alikuwa mwanaharaki wa TANU wala hakuwa afisa wa Ikulu. Vingi ulivyoongea ni hadithi za kufikirika tu huna uhakika navyo.
 
Magu anafanya Mambo gani zaidi ya wewe kusumbuliwa na umbumbumbu
 
Magu anafanya Mambo gani zaidi ya wewe kusumbuliwa na umbumbumbu
Huyo Tundu Lissu amefanya nini cha maana katika nchi hii? Nadhani unahitajika milembe ukafanye check up!
 
Nyerere alitusomesha lakini idadi ndogo sana ilikuwa ile tu ya kupata ajira.
Pili alianzisha birth control yaani UMATI sio kuzaa bila brake.
Lakini sasa ni shaghala baghala,uwezo wa kusomesha watoto wetu upo kisiasa zaidi na hilo ndio tatizo.
Baya zaidi waliouwa viwanda vya Nyerere wakitegemea misaada ya World Bank na IMF ndio walimaliza kabisa nchi hii.
Tunajipanga upya lakini tuongeze nguvu mara elfu mmoja kukabili hili janga la ajira na ukwasi.
 
Bahati mbaya tuliyemkabidhi usukani atuongoze katika kujipanga upya,is total empty na hana msaada kwa taifa hili zaidi ya kutaka kusifiwa na wajinga
 
Shida atakayoipata TL ni kuwa kila akisimama lazima amtaje JPM ili wananchi wamuelewe.

JPM yeye atakuwa anaongea na wananchi moja kwa moja kwa kuwauliza wapi walipoishia ili 2021 waanzie hapo.

JPM endelea kumwaga moto TL ni kama kibito tu kelele nyingi lakini yuko pale pale.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Bahati mbaya tuliyemjabidhi usukani atuongoze katika kujipanga upya,is total empty na hana msaada kwa taifa hili zaidi ya kutaka kusifiwa na wajinga
Mkuu kuuwa nchi kumeanzia mbali,wewe ulishajiuliza how come a person can built and complete mansion worth 2 million usd in one year with maximum income of 5000 usd annually without loans.
Tufanye reality check.
 
Mkuu kuuwa nchi kumeanzia mbali,wewe ulishajiuliza how come a person can built and complete mansion worth 2 million usd in one year with maximum income of 5000 usd annually without loans.
Tufanye reality check.
Haiwezekani
 
Sikisoma ili nikabebe zege, niliandaliwa kuwa mtumishi.

Sasa unafikiri ni kosa la serikali au kosa la wazazi wetu ndo wanatuimiza tusome tuwe na kazi nzuri na sio kujiajiri na kuajiri wengine nenda usome kitabu cha RICH DADDY POOR DADDY tukomboe vizazi vyetu mkuu
 
Nchi hii ina watu wa ajabu sana
 
Mkuu kuuwa nchi kumeanzia mbali,wewe ulishajiuliza how come a person can built and complete mansion worth 2 million usd in one year with maximum income of 5000 usd annually without loans.
Tufanye reality check.
Nadhani sera ya Siri ya ccm ni kutafuna Tanzania,no wonder Magu anapigana kuturudisha gizani
 
Kwa miaka 23 hila magu hata robo bado
Tumpe mingine mitano ili tu rationalizs the denominator
 
Lissu akamjengee kwanza nyumba babake ndio aje kutuletea porojo zake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…