Uchaguzi 2020 Tundu Lissu abadili upepo, aanza kumsifu Rais Magufuli

Sasa unafikiri ni kosa la serikali au kosa la wazazi wetu ndo wanatuimiza tusome tuwe na kazi nzuri na sio kujiajiri na kuajiri wengine nenda usome kitabu cha RICH DADDY POOR DADDY tukomboe vizazi vyetu mkuu
Mfumo wa elimu unaotolewa ccm ndo mbovu,unatengeneza watu tegemezi na wasioweza kufikiria vizuri
 
Ukumbuke Nyerere alitawala miaka 25 akafanya hayo mengi mazuri; Magu ndio kwanza anamiaka 5 hivyo kama unampenda mpe muda......
 
Hawezi kuwa sawa kwa jumla ya mambo waliyofanya Nyerere alikua rais wa Tanzania kwa zaidi ya miaka30 wakati Magufuli amekua rais karibia kufika miaka 5 tuu sasa.
Tukiwalinganisha kwenye mambo walivyofanya, kwa uthubutu wa kufanya vitu vikubwa na vinavyolenga maslahi ya umma hapo tunaweza kusema neno
 
Bahati mbaya tuliyemkabidhi usukani atuongoze katika kujipanga upya,is total empty na hana msaada kwa taifa hili zaidi ya kutaka kusifiwa na wajinga
Hiyo ID yako tu Sijijui inaonyesha jinsi milembe inavyokuhitaji. Kwa heri.
 
Hiyo ID yako tu Sijijui inaonyesha jinsi milembe inavyokuhitaji. Kwa heri.
Ila sijawahi kujitangaza kwamba Mimi ni kichaa Kama huyo unae mshabikia,labda mnajuana ndo maana neno milembe halikuishi mdomoni
 
Mkuu kuna hoja kama yako nimejibu kwamba ukichukua yote aliyofanya Nyerere ugawanye kwa tano utapata wastani kwa kila miaka mitano alifanya nini.
Nyerere alifanya mengi makubwa na madogo, sidhani kama waliomfuatia kuna anayemfikia angalau nusu.
Huyu Magufuli kafanya mengi makubwa lakini aliyofanya na kuyamaliza siyo yote mengi bado, hiyo SGR bado hata 50% ya mradi wote, Stieglers ndiyo kwanza imeanza hata 40% bado.

Kumbukeni pia Nyerere hakukuta wahandisi kama wa TBA na Suma JKT au kampuni binafsi za wazawa kama sasa, hakukuta miundombinu kama liyo ikuta Magufuli, hakukuta madaktari na wauguzi kama alivyowakuta Magufuli hadi hao wataalamu wanakosa ajira wapo wengi sana, nyerere hakukuta Flight engineers wala marubani wazalendo.
Hakukuta wasomi wa kuweza kuendesha taasisi za umma kama kiwango cha PHD kama wakati huu wa Magufuli.
Hakukuta barabara mikoa mingi ilikuwa shida kupeleka huduma na vifaa vay ujenzi wa miradi mikubwa.
Nyerere hakukuta vyuo vikuu wala vyuo vya kati vingi.
 
Ukumbuke Nyerere alitawala miaka 25 akafanya hayo mengi mazuri; Magu ndio kwanza anamiaka 5 hivyo kama unampenda mpe muda......
Soma hapo chini
 
Kwa miaka 23 hila magu hata robo bado
Tumpe mingine mitano ili tu rationalizs the denominator
Soma hapo chini
 
Linganisha miaka aliyotawala nyerere na kisha uwaze unalinganishaje na hii 5 ya magufuli kisha urudi na maoni mapya....japo hatuwashindanishi...kila.mmoja kwa.zama.zake
Soma hapo chini
 
Wewe hii historia ya haya usemayo umeitoa wapi? Kitabu gani au imeandikwa wapi?
Unaokoteza hadithi za vijiweni na kutuletea hapa?
 

Hapo sasa sawa. Siyo kuponda kazi njema zilizodhahiri na ambazo tunategemea zitumike kama msingi wa maendeleo yajayo. Kazi ambazo ni msingi mkuu wa ustawi wa taifa. Hapo sasa sawa kabisha.

Lakini habari ya kumwambia ajenge ofisi ya CHADEMA hiyo ni fitina na upevu mdogo wa mwandishi. Mtu mwenye ufahamu na nia isiyo hila, hawezi kumwambia Lisu Ajenge ofisi ya CHAMA wakati hata CCM zaidi ya miaka 30 haikuwahi kujenga ofisi.

Ahsante Mwalimu.
 
Mkuu mimi nakubaliana kabisa kuwa maendeleo ni "Multiplier effect" yaani hayana mwisho japan wanaendelea marekani wanaendelea na sisi tunaendelea, tofauti iliyopo kwa JPM ni "speed and efficiency" yake.
Mzazi anakuhudumia mahitaji yako yote kuanzia udogoni, tena mara nyingi kwa kutumia mamilioni au hata mamia ya mamilioni ya pesa kama ana uwezo, lakini hakupi heshima kama mtu ambae ameshakuwa sasa, unapelekeshwa pelekeshwa hadi unakosa self-confidence...wewe kama wewe hutatafuta huru wako bila kusahau na kushukuru mema walichokufanyia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…