Uongo ukirudi wa sana huwa ukweliSikujua kama Tundu Lissu ni very weak kiasi hicho.
Huhitaji kutumia nguvu nyingi kujua Kuwa william na Lissu wanafahamiana,ila Tundu Lissu kwa akili yake kaona akikana itamsaidia kisiasa
Wewe baba yako anajua uongozi?Ha ha haaaa
Anaogopa kujulikana ni rafiki yake
Alipomtuma Le Mutuz kwa wazazi wake alikuwa adui yake.. ha ha haaaaaa
Lissu anakitu anataka kwenye uongozi Chadema na hao wenzake watadili nae tena hata nukta aone chungu kuidonoa.. mdomo mrefuuuuuuuu huku uongozi hajui kabisaaaa.
Uandishi wa kishoga kabisa huu kwa mwanaumefrom @lemutuz_superbrand - LE MUTUZ MOBIMBA! .....LE MUTYZ CINTWAYEEN! .....LE MUTUZ BIMAYEEE....HAHAHAHAAHAHA ....politics ....hahahaha ndugu yangu kwanza pole sana kwa masahibu yaliyokukuta ...NIMEKUSIKIA LOUD AND CLEAR..Kaka yako alitokea Tanzania then akaja kukupokea JFK na kukupeleka Connecticut? ....hahahaha this is the biggest joke of my life .....NILIKUFANYIA WEMA AMBAO SIUJUTII PAMOJA NA KELELE ZAKO ZA MLANGO! ... na pia ungesema yote ya jinsi nilipoenda Kijijini kwa Wazazi wako nilikua nafuata nini wakati mimi na wewe hatuna mahusiano yoyote? AGAIN NILIKUFANYIA WEMA KAMA RAFIKI NA SIUJUTII KWA SABABU YA KELELE ZAKO ZA MLANGO ... ..hahaha...halafu pia ungesema tulipoanzia kukutana kwenye Vita ya Jamiiforums ulipokuwa Mwanasheria wetu si ndiko tulikoanzia mbona hukusema hiyo tulipokua tunapigana kuwatoa ndani jamaa zetu au umesahau kwa sababu ya Politics? .....ni kweli mara ya mwisho tulikutana Ofisini kwa Bosi wako Mbowe ukalalamika sana kwamba mimi ni "MAGAMBA" na hunitaki tena sawa ila haifuti record ya tulikotokea ...MUOGOPE MUNGU KIDOGO hahahaa lakini NIMEKUSOMA ..NAKUOMBEA MUNGU AKUTANGULIE UPONE HARAKA! ...hayo mengine ni Politics as Usual nimekuelewa! - le Mutuz
C&P
Ni sawa dada,lakin kuna mambo mengine huwa hayajibiwi hata kama ni uongo,Le mutuz ana enjoy kuchokonoa mtu,si umeona picha ile anakula ice cream na mbowe? Ili tu mbowe atengenezewe ajali na kamati kuu yake!pengine walikutana tu kwenye fete,lakini mbowe kimyaaaUongo ukirudi wa sana huwa ukweli
Ila wanasiasa wa bongo bado sana, kwani kuna shida gani mtu wa CDM akawa na urafiki na mtu wa CCM??
Kwann mnalazimisha chuki zisizo na tija na kusahau sote sisi ni taifa moja na siasa sio kabila kusema haibadilishiki.
Alichokifanya Lissu uongo mbaya hakikua fair kabisa nilishtuka nikadhani kuna mtu ame hack account yake, mbona yule jamaa hakusema kwa ubaya why yeye amepanic namna ile kama vile kaambiwa yeye ndio alimuapisha Raila Odinga hahahaha.
Hii mitandao ya kijamii inawapeleka baadhi ya watu vibaya.
Na we babu yako anajua uongozi?Wewe baba yako anajua uongozi?
Sikujua kama Tundu Lissu ni very weak kiasi hicho.
Huhitaji kutumia nguvu nyingi kujua Kuwa william na Lissu wanafahamiana,ila Tundu Lissu kwa akili yake kaona akikana itamsaidia kisiasa
Ukipewa mwili mkubwa akili amna inakuwa vichekesho.....!!! Lengo la lemtuz nini hasa kwa sasa? .. Mbona akati anapigwa risasi hakutoa pole kama kweli ni rafiki yake ....katumwa sio burefrom @lemutuz_superbrand - LE MUTUZ MOBIMBA! .....LE MUTYZ CINTWAYEEN! .....LE MUTUZ BIMAYEEE....HAHAHAHAAHAHA ....politics ....hahahaha ndugu yangu kwanza pole sana kwa masahibu yaliyokukuta ...NIMEKUSIKIA LOUD AND CLEAR..Kaka yako alitokea Tanzania then akaja kukupokea JFK na kukupeleka Connecticut? ....hahahaha this is the biggest joke of my life .....NILIKUFANYIA WEMA AMBAO SIUJUTII PAMOJA NA KELELE ZAKO ZA MLANGO! ... na pia ungesema yote ya jinsi nilipoenda Kijijini kwa Wazazi wako nilikua nafuata nini wakati mimi na wewe hatuna mahusiano yoyote? AGAIN NILIKUFANYIA WEMA KAMA RAFIKI NA SIUJUTII KWA SABABU YA KELELE ZAKO ZA MLANGO ... ..hahaha...halafu pia ungesema tulipoanzia kukutana kwenye Vita ya Jamiiforums ulipokuwa Mwanasheria wetu si ndiko tulikoanzia mbona hukusema hiyo tulipokua tunapigana kuwatoa ndani jamaa zetu au umesahau kwa sababu ya Politics? .....ni kweli mara ya mwisho tulikutana Ofisini kwa Bosi wako Mbowe ukalalamika sana kwamba mimi ni "MAGAMBA" na hunitaki tena sawa ila haifuti record ya tulikotokea ...MUOGOPE MUNGU KIDOGO hahahaa lakini NIMEKUSOMA ..NAKUOMBEA MUNGU AKUTANGULIE UPONE HARAKA! ...hayo mengine ni Politics as Usual nimekuelewa! - le Mutuz
C&P
Hahaha ..yaani lisu mwenye 49yrs una mlinganisha na le mutuz mwenye 63yrs!..lolLeo nimecheka sana yaani lemutuz anamuandikia lissu maneno kama mdogo wake wakati huo lissu ana miaka 50+ sijui lemutuz atakuwa na mingapi
CrapHa ha haaaa
Anaogopa kujulikana ni rafiki yake
Alipomtuma Le Mutuz kwa wazazi wake alikuwa adui yake.. ha ha haaaaaa
Lissu anakitu anataka kwenye uongozi Chadema na hao wenzake watadili nae tena hata nukta aone chungu kuidonoa.. mdomo mrefuuuuuuuu huku uongozi hajui kabisaaaa.
Crap