Tundu Lissu acha utoto, jaribu kuvaa viatu vya Mandela na Martin Luther King

Ndio amefika tu na amechoka kwa safari ndefu bado hajaongea lolote kubwa tumwache ajipange kuna mengi yanakuja.
Kwa hotuba ya nusu saa bila kutaja msamaha, umoja na kero za watu wengine. NI ubinafsi uliopitiliza. Na anahasira sana
 
Walipogeuka kuwa waimba pambio za kusifu na kuabudu Jiwe, wakaacha kutafuta maarifa! Kwa hiyo ujinga walionao ni wa kiwango cha SGR.
 
Hatokusikiliza kwa sababu bichwa lake ni halina akili. Macho yake nanaona position moja tu ya Uraisi ambayo kwa kweli uwezo wake ni mdogo mnoo hata ule wa TFF hauwezi. Atakuja kuamka siku zishayeya. Wanasubiri waje wadanganye wameibiwa kura ilihali hawana wa kuwaweka hapo wanapopataka na hawana uwezo napo pia.
 
Wapiga kura walio wengi hawaja soma km wewe na hawana mtizamo kama wa kwako 'they have been deprieved in many things, looking for the last resort'
 
Lissu kuyasema maswahibu yaliyomkuta ni haki yake ... hakuna wa kumzuia.. Risasi 16 mwilini kupona kwake ni bahati tu, hata wewe mtoa mada unashangaa kapona pona kiaje... watu walishapanga hata pa kwenda kuzikiwa !!!

Sasa wengi humu hawajawahi kuishika wala kuitumia SMG achilia mbali mlio wake risasi ikiachiwa - walioishika na walioitumia wanajua mziki wake upoje... risasi moja tu ilielekezwa kwako basi lazima haja ndogo na kubwa ikutoke bila mpangilio... acha kabisa tema mate chini..!!

Sasa mwenzako kamiminiwa risasi 32, kati ya hizo 16 zimempata - kaongezewa damu 3/4 ya damu yake ya asili - unataka akae kimya, ili iweje?
 
Huwezi kuhutubia bila kujipanga jana ilikuwa ni salumu na kufurahia kurudi nyumbani niseme tu binadamu ana akili sana japo tulio wengi ni wavivu wa kufikiri 'we do not exercise much of our brains'
 
Ulikuwa wapi kuhubiri amani pindi alipopatwa na matatizo!? Ulikuwa wapi wabunge walipokuwa wanashangilia Mbunge mmoja anyongwe!? Hivi huu uchambuzi wenu umekuja baada ya yeye kutua Tanzania 🇹🇿?.
 
Mandela alikuwa traitor tu..kwa nini alijipeleka jera wakati Mugabe na Nyerere walimuambia wapigane msituni kama Samora...Mandela ni Hollywood figure
 
Wewee hapo nakuona umemnunia mama mwenye nyumba wako kwa kukaangiza nyama na wewe choka mbaya!! Huwezi ukaongelea mapatano mtu mwenye roho ya shetani kama wewe!
Mandela na Martin Luther waliwajua watesi wao na walikuwa wazi sana lakini kwa hili jambazi linalosingizia watu wasiojulikana na kuuvaa Uyesu!? Utamsamehe nani sasa!
 
Sijasema asiseme yaliyomkuta. Nachoshauri asimulie ata dakika 5 maswaibu yote. Baada ya hapo labda aweke wazi anazani alikuwa akipigania juu ya Nini kabla ya kupigwa risasi. Baadae Kuonesha ukomavu, utulivu wa Akili na kujiwekea heshima Kama manabii aseme tu nawasamehe waliotaka kuniua. Uwenda hawajui napigania akina Nani. Napigania wanyonge kabisa. Sitakuwa na muda wa kulipiza. Na aelezee focus zake Kama atakuwa Raisi.
 
Agiza nyama choma nusu na ugali nakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…