Uchaguzi 2020 Tundu Lissu achambua mifuko ya Jamii na fao la kujitoa, CCM jibuni hoja hizi

Wamepotea kabisa utafikiri Uzi hawauoni majinga sana haya yanayomtetea magufuli ni mwizi haijawahi tokea.
Nilitoa hii mada MIFUKO JA JAMII watu wakanitolea povu leo MZEE BABA kafafanua vizuli siwaoni wale wajanja wakujibu kila mada ongeeni chochote
 
Leteni uthibitisho kwanza wa madai yenu. Yaan chadema kila anachosema Lissu mnaamini tu bila hata kumuuliza yeye kajuaje.
 
Acha kubwabwaja comrade hujui kwamba katiba imetoa uhuru kwa kila mwananchi kuchagua chama chochote kadri wapendavyo.
Sio lazima wote tuichukie serikali.
 
Kwakwel si uongo nina miez sita sasa nasubiri ka mil 4 kang kutoka NSSF bada ya ajira ya mhind kukoma
 
Kila mtu apewe chake mapema,hakuna kusubirushana hadi uzeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…